UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Dr aley anasema bunge la katiba ni bunge la ccm wala halitakuwa kwa ajili ya watz bali kwa ajili ya chama chao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu lisu alivyoelezea kwa uzuri duuuu huyu jamaa ni nouma!
Mnyonge mnyöngeni haki yake mpeni!hakuna kit..lissu analaumu tu badala ya kusema nini kiwekwe ndani ya katiba..ni..ubishi tu sidhani kama tutapata katiba nzuri kama watu wenyewe hawajui wanataka nini na wanabaki kulaumu tu wakati nafasi tunayo tumepewa ya kutafuta katiba mpya usimsifu hajasema lolote bora yule mzanzibari anasema mambo ya msingi ya kufanya na sio kulaumu
Wagonjwa wa mirembe wengi wao wanatibiwa ugonjwa wa kichaa
Unajua nyani unavyozungumzia failure ya hero. . . . .sharti uzungumzie kwa heshima na nidhamu, binafsi nimevutiwa jinsi alivyoelezea kwa mtindo ule!Mbona kaelezea kikawaida tu.....sasa huo unouma wake uko wapi? Huwa sielewi kwa nini mnazuzuka na mambo madogo madogo hivyo....
Huo mjadala umeandaliwa na nani?
Lisu anasema huu mchakato ni mbovu maana anaesimamia huu mchakato ni raisi ambae pia ana maslahi kwa chama chake(yeye akiwa mwenyekiti)
Kweli kabisa!Kwa hilo nakubaliana naye kabisa. That's why the whole new katiba thing is a complete farce.
Wangese ccm wamekata umeme huku mbeya ngoja niwashe jenereta lazima nimuangalie lisu.
Mbona hakuna watu.