Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Mi naombeni tu jina kamili la m/kiti wa mdahalo...Aitwa Rozy nani vile?....Kaundesha vizuri sana alafu anakijua hasa kinachojadiliwa! (Fatma A Nyangasa) huwa anabania sana watu wasiongee yanayowasibu kwenye MALUMBANO YA HOJA.
 
Mdahalo umepoa, sio km nilivyotegemea. . . . .hii ni kwa sababu Dr alien kimsingi wanakubaliana na Tundu na ni mbaya sana ktk mdahalo maana mdahalo unakuwa km mnapiga story tu za kwenye vijiwe vya kahawa!

Heshima kwako mkuu kama umelingamua hilo,ila nimecheka sana kwa huyo mgeni kutoka New york aliyetumwa na magamba kushindwa kutetea hoja yake ya kuitenga katiba na siasa/wanasiasa,Lissu amemweleza kisomi kuwa katiba is at fundamental a political article!! Hivyo huwezi katu kuvitenga,mwishoni mgeni wetu huyu kutoka new york amepandwa na jazba nusu ya kupasuka,kumbe kuishi new york siyo kuwa na akili.
 
Kweli chadema imewakilishwa vizuri, lissu ni jembe la ukweli. Ccm wameharibu kwa kutoleta muwakilishi, na pia serikali imetia aibu kwa kuukimbia huu mdahalo!
 
Mbona kaelezea kikawaida tu.....sasa huo unouma wake uko wapi?

Huwa sielewi kwa nini mnazuzuka na mambo madogo madogo hivyo....
ni kwa sababu sisi ni watu wadogo wadogo mkuu,kila mtu ana upeo wake,ana utashi wake,ana hisia zake,wewe wa new york una elewa ALMOST KILA KITU!! Lakini naona umeshindwa kumwelewa kila mtu! Mwakilishi wenu leo kaumbuka kwenye mdahalo,we nenda kamsaidie kiranga kwenye ile kampeni yetu ya hakuna Mungu! Acha watanzania wajadili mustakabali wao,BTW huwezi kuwabadili wote wawe kama wewe,wavumilie tu ndugu yangu.
 
Hapa members wa book saba aka Lumumba jazz band huwezi kuwawona hawataki kujadili vitu vya kitaifa ila kujadili watu chadema Mbowe na Dr Slaa
 
Hapa members wa book saba aka Lumumba jazz band huwezi kuwawona hawataki kujadili vitu vya kitaifa ila kujadili watu chadema Mbowe na Dr Slaa

Na memba wa viroba ni kutukana tu
 
Watu wengi wanashindwa kumkabili lissu kwasababu wanatumia nguvu za mwili sio nguvu za hoja...mwisho unajikuta umeloa jasho mwili mzima ila yeye anakuloesha zaidi kwa hoja nzito
 
Kulikuwa na BW**E. 1 kajitambulisha km anaishi AMERICA kwa zama hz alidhani kusema anaishi huko aliona bonge la issue! Watu tulidhani atasema anaTAALUMA gani kumbe kuishi2 hata mBWA anaishi huko!! Hakuna cha maana alichosema! kaishia kutema maSHUDU kamanda TL alipocmama kampa 1tu! jamaa kakodoa mimacho km KENGE! CCM kutetewa na m2 km yule ndo kunapelekea watu makini kuendelea kuipuuza CCM hana HOJA anatema PUMBA 7BU! imesemwa CCM duh!

Usikute Mwigulu kamsafirisha toka USA aje apambane na Lisu
 
Kiukweli hakuna mtu anayetaka kutetea uongo ndo mana mara nyingi huwa tunawaandikia ili wakasome tu musikilize na pia tunatamani na masikio muwekwe pamba.
 
Usikute Mwigulu kamsafirisha toka USA aje apambane na Lisu

Ha ha haaa! Inawezekana manake maGAMBA PESA zakufanyia upuuzi km huo wanazo zakutosha lkn za Maendeleoa wanatembeza maBAKULI Ulaya!
 
Kwenye mambo muhimu ya Kitaifa na yenye mustakabali mpana ushiriki/uchangiaji wa CCM huwa ni mdogo na hafifu sana, kwanini?
 
Kwenye mambo muhimu ya Kitaifa na yenye mustakabali mpana ushiriki/uchangiaji wa CCM huwa ni mdogo na hafifu sana, kwanini?
Kwa sababu hatuwezi kushuhudia kiongozi wetu makini kupata kutokea katika taifa hili Mwl J.K.Nyerere akitukanwa hadharani na mwehu TUNDU LISSU kwa kuitwa dikteta
 
Ila ki ukweli jamaa wa new york anaonyesha ametumwa na magamba, yeye na upara wake mtu mzima tena anaonekana wale waliosoma bure halafu anaishi US huku akimshambulia lisu kwamba amewasaidiaje watanzania. Mwongo kabisa huyu jamaa kaishia kuvimba tu, watu wa wasikubali kutumwa ovyo kama huyu jamaa na upara wake alidhani sisi tunajali new york bora angesema Gongolamboto tu!
 
Mimi mwenyewe namwona kama ze comedy anatutishia na New york nani anajali! Bora lisu ambaye tuko naye hapa tz kuliko yeye anayeishi US.
 
Mimi mwenyewe namwona kama ze comedy anatutishia na New york nani anajali! Bora lisu ambaye tuko naye hapa tz kuliko yeye anayeishi US.

My wife wake amemkata jicho baya hadi aibu,alikuja pia na body guard,kijana wa Chrislukosi huyo,kuna post moja ipo humu inaelezea ushamba wa wabongo wengi waishio ughaibuni,itabidi nirudi kule kuomba msamaha kwani nilipingana na mtoa mada!! Kumbe kweli!!nikimsomaga @Le mutuz huwa nahisi kama vile alikuwa akiishi kwenye chaka gani huko kwenye misitu ya kongo,astonishingly naambiwa naye alikuwa new york for a decades, Bure kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: JGG
Kwa sababu hatuwezi kushuhudia kiongozi wetu makini kupata kutokea katika taifa hili Mwl J.K.Nyerere akitukanwa hadharani na mwehu TUNDU LISSU kwa kuitwa dikteta

Mwalimu Nyerere, Mwenyekiti wa CCM mstaafu, ndiye Mwasisi wa MFUMO KRISTO.

CCM=MFUMO KRISTO
 
Back
Top Bottom