Mdahalo wa Mbowe Vs Lissu uongozwe na Stephen Sucker wa HARD TALK-BBC !

Mdahalo wa Mbowe Vs Lissu uongozwe na Stephen Sucker wa HARD TALK-BBC !

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
mnamo 16-1-2025 chombo kimoja kikubwa cha habari kimefanya mahojiano na Tundu Lissu nyumbani kwake Tegeta -Dar es salaa, Tanganyika.

Waandishi / Watangazaji watatu wamemuhoji :-
  1. Sam Sasali
  2. PJ
  3. Kijja
Katika hali ya Kusikitisha, Kijja ambaye ni kada wa VEGGIE PARTY amekua akiuliza maswali kama anahoji wacheza singeli, hana information, hajisome, hana exposure ya mambo ya siasa lakini amewekwa kimkakati kwenye kipindi kwasababu ya mambo ya FEMMINISM.

Watu wamemtukana sana, rejea kwenye youtube na angalia comments za watazamaji na alipofika Mwiho alisoma comments kimoyomoyo akaacha kuuliza maswali ya kijinga na interuptions za vijiwe vya kahawa ukiwakuta watu wanabishana nani tajiri zaidi Tanzania.

KIJAKAZI yupo subjective sana, sijui pale Mawingu nani


View: https://x.com/spana_Konki/status/1879800401194820069
 
IMG-20250116-WA0060.jpg
 
Huyu Demu angefaaa kufanya kazi TBC yaani kajisahau kabisa kuwa kuna maadili ya kazi.. Madai yake anafosi teuzi.. Kama wale wenzake..
 
Kampeni meneja wa Mbowe alishikwa akotoa RUSHWA.
 
Lissu ashashindwa - ajipange next time miaka 5 si mingi.
 
Huyu Demu angefaaa kufanya kazi TBC yaani kajisahau kabisa kuwa kuna maadili ya kazi.. Madai yake anafosi teuzi.. Kama wale wenzake..
Tuwatag TBC, alijisahau akahisi yupo mkutano wa UWT
 
Back
Top Bottom