GE2025 Mdahalo wa wagombea urais 1995: Kwanini siku hizi inashindikana? Samia anaweza?

GE2025 Mdahalo wa wagombea urais 1995: Kwanini siku hizi inashindikana? Samia anaweza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM wanaogopa, tangu Mkapa hawajawi pata mgombea jasiri wa kumwamini kuweza kupanga hoja na kuongea uhalisia wa kile atakachofanya akiwa Rais. Sasa sijui wanaongozaje nchi kama mgombea anashindwa kujibu maswali ya waandishi wa habari waliozaliwa tanzania, wakasoma tanzania katika shule alizosoma pia yeye. Kama alivyowahi kusema prof Assad, hata hawajui wanapigania kwenda ikulu kufanya nini. Hawana focus. Na mtu asipokuwa na focus sio rahisi kumudu mdahalo. Ndo maana muda wote hata kufungua vikongamano vidogo hawawezi kutoa vitu kichwani mpaka wasome.
Imagine, yaani hiki ni kipimo tosha kuonesha CCM hamna kitu, zimejaa empty seti nyingi, hata kama watu wazuri wapo wanamezwa na vilaza ambao ndio wengi
 
Chura kiziwi mwenye elimu ya form four anaweza ku debate na nani?
Ni huzuni! Nani mwingine CCM unadhani ana kichwa cha kusimamishwa kwenye mdahalo na wapinzani?
 
Hakuna hata mmoja kati ya Mkapa, Mrema na Lipumba alipa division zero form four. Hawa wote walikuwa wasomi kiwango cha lami Europe union standard.

Mwenyekiti mstaafu wa CCM aliyekuwa na nguvu kipindi hicho hakuwa na GPA ya 2.0 katika digree yake na hii na ndio sababu debate inyooka.
Noma sana... kwa sasa nani unaona anaweza kusimama kwenye mdahalo akamenyana sawasawa na mtu kama Lissu?
 
Siwezi kumruhusu rais wangu, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, kujinajisi kwa hawa watoto wasiokuwa na adabu kwani ana mambo mengi ya kufanya.
Sasa kwa weupe huo besti yangu kuna kipi cha maana unaweza sema?🌚🌚🌚
 
Dr SS atawashinda wote kwenye mdahalo. Ila ikiwapendeza awe ana piga Public lecture National college of Tourism maana royal tour imepanua sana utalii.

Mambo ya clean cooking energy pia awe ana piga public intellectual lectures udsm hasa watu wa engineering.

Unajua Pres. William Ruto au Hata JK alikuwa anapigaga intellectual lectures kule National Defence College
Aiiiiiii sema wallah Mkuu!:BearLaugh::KEKWlaugh::KEKWlaugh:
 
Unataka moderator wa mdahalo atekwe kwa kushindwa kuzuia maswali yasiyo ya kichawa baada ya mdahalo?
 
Back
Top Bottom