GE2025 Mdahalo wa wagombea urais 1995: Kwanini siku hizi inashindikana? Samia anaweza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Imagine, yaani hiki ni kipimo tosha kuonesha CCM hamna kitu, zimejaa empty seti nyingi, hata kama watu wazuri wapo wanamezwa na vilaza ambao ndio wengi
 
Chura kiziwi mwenye elimu ya form four anaweza ku debate na nani?
Ni huzuni! Nani mwingine CCM unadhani ana kichwa cha kusimamishwa kwenye mdahalo na wapinzani?
 
Noma sana... kwa sasa nani unaona anaweza kusimama kwenye mdahalo akamenyana sawasawa na mtu kama Lissu?
 
Siwezi kumruhusu rais wangu, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, kujinajisi kwa hawa watoto wasiokuwa na adabu kwani ana mambo mengi ya kufanya.
Sasa kwa weupe huo besti yangu kuna kipi cha maana unaweza sema?🌚🌚🌚
 
Aiiiiiii sema wallah Mkuu!
 
Unataka moderator wa mdahalo atekwe kwa kushindwa kuzuia maswali yasiyo ya kichawa baada ya mdahalo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…