Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

Status
Not open for further replies.
Tatizo la kuwa na rais "dummy" yaani hana data hata moja kichwani kwake sasa unataka kwenda kumpambanisha na wataaluma wa uchumi, wataaluma wa kufuatilia data na kuzifanyia analysis kama wao ndiyo wanaongoza nchi ili akapewe lecture. Akichemcha na kuonekana useless atakuwaje na guts za kujitangaza kashinda kwa 81% +?. Kama anaweza kuongea na vyombo kama CNN kwa nini asikubali mdahalo?

 
Last edited by a moderator:
Ni hatari sana kwa nchi yenye watu wengi wenye bongo kichwani ikiongozwa na Rais asiyejiamini kutetea performance yake mbele ya wananchi anaotaka kuwaomba kura!! Inaelekea hajiamini na hivyo ndivyo anavyoiuza nchi wa waarabu na wazungu!
 
Kwa kweli anasikitisha sana eti Richard Tambwe HIza anahojiwa na Radio clouds anasema raisi aliyechaguliwa kwa asilimia zaidi ya 80 hana sababu ya kufanya mjadala wa aina yeyote kwa sababu ana mengi mazuri ya kuonyesha lanathubutu hata kusema eti hiyo haimo dunia nzima,mbona hawa CCM wajinga sana wanafikiri sisis ni mandondocha tutaamini kila walisemalo
anaogopa kwa sababu mukichwa ni pumba tupu hawana cha kuonyesha
 
Rais kaingia mitini kwa kijisababu cha kipuuzi sijapata kuona! Hii ndio hali halisi JK utawaambia nini Watazania mliowaahidi maisha badala ya kuwapa mnaishia Hollywood kupiga picha na akina Magese! Shame on you Mr President mzee wa kutembeza bakuli! Huwezi hata waangalia watz usoni na ukawaambia ulicho fanikiwa!
Aibu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu wetu wa nchi akiwa na notsi wakati akiongea na Obama. Obama anajipiga maswali kichwani.

kiwete-obama.bmp
 
Jamani kumbe huyu muuza sura ni kilaza sana! Naona aibu kuwa na raisi wa aina yake
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tambwe Hiza Kwa Vyombo vya Habari jana, amesema rais hatafanya hivyo kwa kuwa saa 1 haitoshi kuelezea sera za CCM
Very weak argument, Obama aliwezaje kuelezea sera za chama chake kwa nusu saa kwa nchi kubwa kama ile ya watu mil.300, JK na ka nchi kake haka masikini atashindwaje, ina maana ana majukumu makubwa kuzidi ya Obama aache uhuni.
 
Ni kuweka presha tu..hakuna namna nyingine.
Mpaka at last nyoka tutamtoa pangoni.
 
Mkuu wetu wa nchi akiwa na notsi wakati akiongea na Obama. Obama anajipiga maswali kichwani.

kiwete-obama.bmp

Aibu tupu rais anaandikiwa cha kwenda kuzungumza na kiongozi wa nchi nyingine. Ina maana hana hata uweza wa kumweleza mwenyeji wake kilichompeka pale. kwa ufupi hajui anatakiwa afanye nini.

Wtanzania amkeni. Tuchague Kiongozi na si Bendera ambayo inapelekwa na upepo popote
 
:nono:kwa kweli ni udhaifu, kama kweli ccm wamedhamiria kukwepa mdahalo huo. But namjua jk kama mtu smart sana, hawezi kukataa mdahalo bana,.:tape:
 
Kikwete amelewa madaraka, na kuwa anajua iwe isiwe atakuwa raisi. Hiii mentality ya namna hii ni mbaya sana kwa ukuaji wa demokrasia.(Redet tafiti zenu zinabaka Demokrasia, japo zaweza kuwa sahihi, lakini zinapaswa kutafitiwa kila week wakati wa mchakato huu wa uchaguzi. Hillary Clinto alikuwa anaongoza kwenye primaries kwa kura za maoni, lakini siku za kupiga kura zilivyokuwa zinakaribia lead yake ikawa inakuwa eroded pole pole hadi kupitwa na Obama). Kikwete alivyochukua form kuomba kuteuliwa na CCM hakuhangaika kuzunguka kuomba udhamini, mwaka 2005 alizunguka karibu nchi nzima. Hiyo ni dharau, akamtuma kijana wake, hilo lilikuwa ni tusi kwa watanzania na wenye kuipigia magoti CCM. Mdahalo ni jambo zuri, aingie mlingoni ajibu maswali magumu, kutokuonekana kwa vipindi viwili ni kuset precedence mbaya sana kwa mustakabali wa taifa letu. Kama JK hawezi kuielezea CCM manifesto kwa dakini 10 au 20, then hatoweza kuitekeleza kwa miaka mitano ijayo, lets be serious. Mdahalo ni haki ya wananchi, and we have right to demand so, JK acha uwoga, jitokeze, unaweza kuwashawishi wale ambao wameshakusideline na ambao walishaamua kuwa hawatopiga kura mwaka huu lakini wamebadili msimamo baada ya Shujaa na mwenye heri mpakwa mafuta Dr Slaa kuinuliwa.
 
SERA YA CHADEMA NI ILEILE YA MPENDAZOE(UFISADI) HAWANA SERA MBADALA....NDO MAANA HATA MPENDAZOE ALIPOENDA HUKO HAWAKUONA JIPYA WAKAMWAGA......! maendeleo ya michezo, uchumi, miundombinu,elimu SI AJENDA ZA CHAMA HIKI......WANA AJENDA MOJA KUU KWA MIAKA MITANO......LABDA CHAMA KINGINE....NEEEEEEXT....!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom