Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024

Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024

Sio kwa ubaya, lakini inakuaje vyombo vya habari tofauti viandike habari kwa kufanana?🤔 wakati kila chombo kina waandishi wake?

Kiukweli kwa upande wangu naona ni script iliyoandaliwa na mgombea kwaajili ya kampeni zake (sijui nitakua sahihi nikitafsiri hii kama rushwa au lah🤷🏽‍♂)

Ushaidi picha 👇🏼
d6d3496f-d8e3-4e9a-99bf-59c5a90c909f.jpeg
Picha kutoka Dizzimonline

53d7c41b-5705-4c16-b3bd-56f69164dd74.jpeg

Picha kutoka ITV
 
Back
Top Bottom