Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Hio dini yenu ina matatizo sana mnapoenda kuhiji Marekani ameweka kambi tano. Na hela zote za mafuta kwa nini Israel haijawahi kupewa kipigo cha kuondoka palestina ? Kwa nini waarabu wa Syria, Libya na Afghanistan wanakimbilia Ulaya na Marekani? Ukishajiuliza utajua kuna matatizo. AmkaNdio hoja katika mwaka huu 2024? Msigwa kasoma madrasa mbona amekuwa vile? si popo si kunguru