Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi IGA (mkataba wa bandari) unawezaje kua part ya hoja za mgombea raisi wa TLS🤔. Sio kwamba Advocate (professionalism) inakua inachanganyaa na Siasa?🙄
Nashukuru kwa ufafanuzi🙏🏼Hoja yoyote ile inayogusa na kuathiri jamii inaweza ikazungumzwa na TLS.
Hili lijamaa jembe balaa,linajua mpaka linakeramwabukusi for life, mwabukusi ana leta rahaaaaa
Mwanafunzi wa shule ya sheria Udsm anasema TLC
Maswali hayawezi kuwa matamu bali yanakuwa mazuri. Kitamu huwa ni kile ambacho unakiweka Kinywani mwako tu.Maswali kutoka kwa muendeshaji ni matamu sana
Pamoja na wengi wenu kumsifia na kumtaka huyo ila kwa ninavyojua System huyo hata iweje hawezi kuwa Rais wa TLS.Nimewasikiliza wagombea wote, kwa kweli wengi wao wanaongea bila kujiamini na hawana facts.
Wakili Mwabukusi anaongea kwa kujiamini na kutoa facts.
Amezungumzia suala la mikataba inayosainiwa na Serikali na baadae Serikali hushindwa mahakamani ikivunja mikataba husika baada ya kuona haiko sawa.
Na mimi nime notice hili sualaKuna swali zuri Sana halijajibiwa, kuwa TLS haina nguvu
Sawa kabisaMaswali hayawezi kuwa matamu bali yanakuwa mazuri. Kitamu huwa ni kile ambacho unakiweka Kinywani mwako tu.
Hakuna Lugha ninayoipenda kama ya Kiswahili na hata Hadhi Kubwa ninayoipata nilipo sasa ni kwa ajili ya Kiswahili.Sawa kabisa