Abdul Said Naumanga
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 673
- 1,318
- Thread starter
- #41
Suala la Katiba 🙌🏽
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The guy is a strong leader! Sauti ya mamlaka!Huyu mwambukusi ni hatari sana akiongea hata kama uko mbali unaanza kuogopa!
Muga mccm kazingua Sana, TLS haiwezi hata kumshauri etiSuala la Katiba 🙌🏽
Hiyo ilipitishwa kwa maelekezo ya mama Abdul akishirikiana na Rango...kila mgombea aulizwe " IGA " iliyopitishwa na Bunge ni halali au sio halali?
Hamna. Anaweza kushinda. Hata Lisu watu walijua system haiwezi kumruhusu awe Rais wa TLS but akashinda. Akaja Tena Wakili Fatma Karume. Wote wakosoaji wa Serikali. Serikali wakati mwingine haihangaiki sana na taasisi zisizo na athari za Moja Kwa Moja Kwa madudu ya SerikaliPamoja na wengi wenu kumsifia na kumtaka huyo ila kwa ninavyojua System huyo hata iweje hawezi kuwa Rais wa TLS.
Sio kwamba hawahangaiki....hizo mbinu za kupambana kwenye sanduku la kura CCM hawaziwezi tena.... namna pekee waliyobaki nayo ni engua engua....Hamna. Anaweza kushinda. Hata Lisu watu walijua system haiwezi kumruhusu awe Rais wa TLS but akashinda. Akaja Tena Wakili Fatma Karume. Wote wakosoaji wa Serikali. Serikali wakati mwingine haihangaiki sana na taasisi zisizo na athari za Moja Kwa Moja Kwa madudu ya Serikali
I can agree with you.Hamna. Anaweza kushinda. Hata Lisu watu walijua system haiwezi kumruhusu awe Rais wa TLS but akashinda. Akaja Tena Wakili Fatma Karume. Wote wakosoaji wa Serikali. Serikali wakati mwingine haihangaiki sana na taasisi zisizo na athari za Moja Kwa Moja Kwa madudu ya Serikali
Hiyo system inakuwa overrated, ingekuwa iko active and focused kwa maslahi ya taifa basi ingekuwa inatuletea viongozi sahihi kama mwabukusiKura yangu inaenda moja kwa moja kwa mwambukusi lakini kama system itakataa basi apewe mkubwa dawa
BENDERA.full stop.
Tatizo ndo liko hapo na aliejitahidi kuonesha nia yakumaliza ilo ni bro mwambukusi pekeeHiyo system inakuwa overrated, ingekuwa iko active and focused kwa maslahi ya taifa basi ingekuwa inatuletea viongozi sahihi kama mwabukusi
Sure👍🏼Hamna. Anaweza kushinda. Hata Lisu watu walijua system haiwezi kumruhusu awe Rais wa TLS but akashinda. Akaja Tena Wakili Fatma Karume. Wote wakosoaji wa Serikali. Serikali wakati mwingine haihangaiki sana na taasisi zisizo na athari za Moja Kwa Moja Kwa madudu ya Serikali