Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024

Huyu Sweetbert ameonyesha u-Ccm wake kwa jazba Sana kuhusu Katiba Mpya
 
Mgombea Muga anasema yeye akiwa Raisi wa TLS hatoweza kujihusisha na suala la katiba kwasababu sio jukumu la TLS wala Wakili​
 
Mgombea Mkuba anasema mchakato wa upatikamaji wa Katiba mpya unacheleweshwa na siasa za nchi. Na pia anakiri kwamba yeye ni mwanachama wa CCM
 
Pamoja na wengi wenu kumsifia na kumtaka huyo ila kwa ninavyojua System huyo hata iweje hawezi kuwa Rais wa TLS.
Hamna. Anaweza kushinda. Hata Lisu watu walijua system haiwezi kumruhusu awe Rais wa TLS but akashinda. Akaja Tena Wakili Fatma Karume. Wote wakosoaji wa Serikali. Serikali wakati mwingine haihangaiki sana na taasisi zisizo na athari za Moja Kwa Moja Kwa madudu ya Serikali
 
Mgombea Kaunda anasema yeye akiwa Raisi wa TLS atahakikisha anaikumbusha na kuishawishi serikali kuhusu suala la Katiba mpya​
 
Mgombea Bendera anasema katika katiba mpya iboreshwe katika ibara zinazohusiana na haki za binadamu. Kwani polisi wamekua wakizivunja sana haki za binadamu​
 
Kura yangu inaenda moja kwa moja kwa mwambukusi lakini kama system itakataa basi apewe mkubwa dawa
BENDERA.full stop.
 
Hamna. Anaweza kushinda. Hata Lisu watu walijua system haiwezi kumruhusu awe Rais wa TLS but akashinda. Akaja Tena Wakili Fatma Karume. Wote wakosoaji wa Serikali. Serikali wakati mwingine haihangaiki sana na taasisi zisizo na athari za Moja Kwa Moja Kwa madudu ya Serikali
Sio kwamba hawahangaiki....hizo mbinu za kupambana kwenye sanduku la kura CCM hawaziwezi tena.... namna pekee waliyobaki nayo ni engua engua....

Kumuengua Mwabukusi was the only option Samia na mawakala wake wangeweza but ndo hivyo imetoka hiyoo....
 
Swali la gender bado ni kigugumizi kwao
Ila ukweli ni kwamba
Me na ke kamwe haiwezi kujakuwa issue ambayo iko equal
Hata watu wa jinsi ke wajitutumue vipi
Likija swala la majukumu inabaki hivo na io ndo nature...🚶🏾‍♂️
 
Hamna. Anaweza kushinda. Hata Lisu watu walijua system haiwezi kumruhusu awe Rais wa TLS but akashinda. Akaja Tena Wakili Fatma Karume. Wote wakosoaji wa Serikali. Serikali wakati mwingine haihangaiki sana na taasisi zisizo na athari za Moja Kwa Moja Kwa madudu ya Serikali
I can agree with you.
 
Kura yangu inaenda moja kwa moja kwa mwambukusi lakini kama system itakataa basi apewe mkubwa dawa
BENDERA.full stop.
Hiyo system inakuwa overrated, ingekuwa iko active and focused kwa maslahi ya taifa basi ingekuwa inatuletea viongozi sahihi kama mwabukusi
 
Tatizo ndo liko hapo na aliejitahidi kuonesha nia yakumaliza ilo ni bro mwambukusi pekee
 
Hamna. Anaweza kushinda. Hata Lisu watu walijua system haiwezi kumruhusu awe Rais wa TLS but akashinda. Akaja Tena Wakili Fatma Karume. Wote wakosoaji wa Serikali. Serikali wakati mwingine haihangaiki sana na taasisi zisizo na athari za Moja Kwa Moja Kwa madudu ya Serikali
Sure👍🏼
 
Back
Top Bottom