Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024

Ndio hoja katika mwaka huu 2024? Msigwa kasoma madrasa mbona amekuwa vile? si popo si kunguru
Hio dini yenu ina matatizo sana mnapoenda kuhiji Marekani ameweka kambi tano. Na hela zote za mafuta kwa nini Israel haijawahi kupewa kipigo cha kuondoka palestina ? Kwa nini waarabu wa Syria, Libya na Afghanistan wanakimbilia Ulaya na Marekani? Ukishajiuliza utajua kuna matatizo. Amka
 
Hio hoja nyengine. siku nchi za kiarabu Viongozi wao wakifata Quran badala kufata matamanio yao hayo yote yataondoka
 
Watu wengine huwa mna akili za kipuuzi sana, yani wewe umeangalia vigezo vyote ukaishia kwenye dini???!! Umesikia TLS ni madrasa au Sunday school?? vipi akitokea mpuuzi mwingine akaanza kuhoji mbona hakuna Mbilikimo? mbona hakuna albino? mbona hakuna atheist etc. Tumia akili, TLS sio taasisi ya ki dini, mtu achaguliwe ama shindanishwe kwa uwezo wake na ufahamu wake kuhusu sheria na sio dini, hapo sio Madrasa au Sunday school
 
umeingia Chuo kikuu wewe? moja ya kipengele unaocholulizwa unapojiunga chuo KIKUU chochote duniani dini yako. katika fomu ya maombi hilo unakutana nalo. sasa kama haina umuhimu kwanini inawekwa?
 
Hio hoja nyengine. siku nchi za kiarabu Viongozi wao wakifata Quran badala kufata matamanio yao hayo yote yataondoka
Ee bwana waarabu wameifanyia nini nchi yetu. Kuna mahospitali, shule na NGO kubwa nyingi zinafadhiliwa na wazungu. Kuanzia Bugando mpaka KCMC. Kuanzia AMREF mpaka ICAP. Amka ndugu yangu .
 
Kwa sababu wazungu ndio waliwatesa mababu na mabibi zetu ndio maana wanajitoa kimacho macho. mwarabu moshi hanyakanyaga wala haijui
 
Kwanini wagombea wa TLS ni wa dini moja tu?
Hii ni hoja muhimu sana, sikupta nafasi ya kuuliza ningaliuliza katika ukumbi wa mdahalo. kila nikiomba mice Odemba anajifanya kama hanioni
Ok. naomba kuuliza humu

View attachment 3054869
Umewatambuaje kama wote ni wa dini moja?walijieleza kwani wenyewe au unahisi hivyo?
 
umeingia Chuo kikuu wewe? moja ya kipengele unaocholulizwa unapojiunga chuo KIKUU chochote duniani dini yako. katika fomu ya maombi hilo unakutana nalo. sasa kama haina umuhimu kwanini inawekwa?
Kama akili za mlioingia chuo kikuu ndio hizi ni bora hata sikuingia huko chuo kikuu
 
Wewe unadhani lengo la swali hilo huwa ni nini?
 
Kama akili za mlioingia chuo kikuu ndio hizi ni bora hata sikuingia huko chuo kikuu
uwezo 0 utaingia vipi? hapa unaonyesha wazi. kama wabunge wanaapa kwa kutumia Quran au Biblia, rais anapa hivyo hivyo halafu unasema dini haina maana. bado hujajitambua
 
😀😀 wewe uliingia chuo, sisi wengine tulikwenda kusoma na kuongeza maarifa, hata kichaa anaweza kuingia chuo ila akashindwa kutimiza lengo la kuwa hapo chuoni, Suala la kula Kiapo hata chizi anaweza kuapishwa kwa dini yoyote ile, lakini akakosa 'maarifa' ya uongozi ama akashindwa kutambua dhumuni la kiapo. Ila sifahamu kama unatambua kuwa kuna watu huwa hawatumii biblia wala quran kwenye kiapo. Jielimishe. Watu kama nyie ndio huwa mnafanya elimu isithaminike kwenye jamii
 
Back
Top Bottom