Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024
Sio kwa ubaya, lakini inakuaje vyombo vya habari tofauti viandike habari kwa kufanana?π€ wakati kila chombo kina waandishi wake?
Kiukweli kwa upande wangu naona ni script iliyoandaliwa na mgombea kwaajili ya kampeni zake (sijui nitakua sahihi nikitafsiri hii kama rushwa au lahπ€·π½ββ)
Ushaidi picha ππΌ
Picha kutoka Dizzimonline
Picha kutoka ITV