Pre GE2025 Mdahalo wa wagombea Urais wa TLS ulikuwa "fantastic". Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025 waige mfano huo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM walishagoma kabisa toka 1995 wagombea wao wote kushiriki midahalo yowote tangu ngazi ya tawi hadi Taifa

Hawa jamaa sijui huwa wanaogopaga nini?
 
Kikwete aliweka mpira kwapani na CCM ikapiga marufuku wagombea wake kushiriki midahalo, hiki ndicho chanzo cha nchi kupata marais wasiokidhi viwango vya juu.
Nani wa kutunga hiyo sheria? Wengi wa watunga sheria waliopo mjengoni hawatakubali mdahalo
"Changamoto kubwa zaidi iliyopo katika ulimwengu wa Sasa ni kwamba Watu wenye akili nzuri hawataki kujihusisha na Siasa, hivyo, watu wasio na akili wamepewa mamlaka ya kuwatawala Watu wenye akili na watu wasio na akili."

Donald Trump, aliyekuwa Rais wa Marekani.
 
Kikwete aliweka mpira kwapani na CCM ikapiga marufuku wagombea wake kushiriki midahalo, hiki ndicho chanzo cha nchi kupata marais wasiokidhi viwango vya juu.
Kama Kikwete aliweka mpira kwaoani.

Tutamlazimisha Mama aingie Kwenye mdahalo huo, atake-asitake😀
 
Ccm hawakuwa tayari kwa midahalo, na cdm nao walichemesha baada ya kumpokea Lowassa ambaye alitoka na udhaifu wa ccm kuogopa midahalo. Hata hivyo midahalo inamaana gani wakati matokea ya uchaguzi ni ya kupangwa?
 
Chura Kiziwi vs Tundulisu hapo mmoja asiposema naamuru polisi wamuweke ndani mmoja wao, nipo paleee
 
Samia akishiriki mdahalo si baada ya hapo CCM watalipa machawa kufanya damage control !

Huku maelekezo ya Chief Odemba kukamatwa na kuandaliwa makosa ya kubumba.
 
Samia akishiriki mdahalo si baada ya hapo CCM watalipa machawa kufanya damage control !

Huku maelekezo ya Chief Odemba kukamtwa na kuandaliwa makosa ya kubumba.
Kwa mfumo wa nchi hii unavyoenda, Hilo unalolisema linawezekana kabisa😗
 
Mdahalo? Kama ule wa Msigwa vs Sugu? Au Biden vs Trump?

Nchi hii ambapo Rais hahitaji kura ya mtu yeyote kuwa madarakani? Ambapo yeye ndiye anayeamua matokeo anayoyataka?

Mleta mada umeamua kuchangamsha baraza.

Halafu katika nchi hii nani yuko tayari kuona Rais akiadhirishwa kama ilivyomtokea Biden majuzi? Hapa wajinga wengi hudai Rais ni nembo ya taifa hivyo haitakiwi kabisa afedheheshwe kwa namna yoyote ile. Rais asiyehojiwa anaulizwaje swali gumu in front of her husband, totos and machawa?
 
Alinichekesha jamaa mmmojaaa alisema kweli mwanachama wa ccm

Akaulizwa utawwzapingana na serkl ya ccm

Akajibu ccm sio yanguuu

Gafla akasema niwajuze tu nagombania kwa ajili ya kuwatumikia wanachama wa tls

Ccm yangu ina viongozi wakeee [watuukichekooo yangutena]
 
Tunataka tutengeneze utamaduni mpya.

As far as tunayemchagua ni kiongozi wetu sote, basi tunaweza kumlazimisha atake-asitake ashiriki Kwenye mdahalo😅
 
MUGA AKANIACHA HOI NACHEKA USINGIIZIN

AKAULIZWA SWALI LA RUSHWA

AKAJIBU INAJUA M SITAKI KUPEPESA MACHO UNAUJUA NYUKI ANAFWATA PALE KWENYE ASAALI
AKAULIZWA HAHAHA KWAHIO PESA N ASALI SI KWAHIO UNARIDHIA RUSHWA IPO

AKAJIBU HAPANAA NAMAANISHA ASALI N ULE UONGOZI BORA WA MTU NA YALE MAZURI ALIYOYAFANYAA YAAN MBAVUZANGU MIE SINAHAMU

NAOMBA URUDIWE TENA PLS
 
Hawawezi kukubali odemba Hana cha msalia mtume
 
Tunataka tutengeneze utamaduni mpya.

As far as tunayemchagua ni kiongozi wetu sote, basi tunaweza kumlazimisha atake-asitake ashiriki Kwenye mdahalo😅
Sawa. Si vibaya kujipa matumaini na kujimwambafy kidogo. Ndicho kilichobakia. Kila la heri.😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…