Hizo kazi watafute Gen Z, watakusaidia. Mimi sio muumini wa hayo mambo.Tunaweza kuadamana tukashinikiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kazi watafute Gen Z, watakusaidia. Mimi sio muumini wa hayo mambo.Tunaweza kuadamana tukashinikiza
Utabaki kuwa masikini mali zinapigwa na mafisadi ya CCM kwa uoga wa kijinga kama huoHizo kazi watafute Gen Z, watakusaidia. Mimi sio muumini wa hayo mambo.
Kikwete aliweka mpira kwapani na CCM ikapiga marufuku wagombea wake kushiriki midahalo, hiki ndicho chanzo cha nchi kupata marais wasiokidhi viwango vya juu.
"Changamoto kubwa zaidi iliyopo katika ulimwengu wa Sasa ni kwamba Watu wenye akili nzuri hawataki kujihusisha na Siasa, hivyo, watu wasio na akili wamepewa mamlaka ya kuwatawala Watu wenye akili na watu wasio na akili."Nani wa kutunga hiyo sheria? Wengi wa watunga sheria waliopo mjengoni hawatakubali mdahalo
Siyo kweli kuna Odemba, Kikeke na Dotto Bulendu wanaweza sana tena sana
Kama Kikwete aliweka mpira kwaoani.Kikwete aliweka mpira kwapani na CCM ikapiga marufuku wagombea wake kushiriki midahalo, hiki ndicho chanzo cha nchi kupata marais wasiokidhi viwango vya juu.
Na hili liwe takwa muhimu katika katiba mpyaTuna taka wabunge, madiwani na Rais wapambane kwenye mdahalo
Ccm hawakuwa tayari kwa midahalo, na cdm nao walichemesha baada ya kumpokea Lowassa ambaye alitoka na udhaifu wa ccm kuogopa midahalo. Hata hivyo midahalo inamaana gani wakati matokea ya uchaguzi ni ya kupangwa?Nilishuhudia mdahalo wa wagombea Urais wa TLS, uliofanyika katika kituo Cha luninga Cha Star TV, ukiongozwa na mtangazaji wao mahiri, chifu Odemba, ulioendeshwa Kwa takribani masaa mawili na nusu, ambao ulikuwa mzuri sana na wa kiwango Cha kimataifa, ambao uligusa Kila aina ya nyanja ya taaluma hiyo ya sheria na Taifa Kwa ujumla.
Ningependelea na naamini watanzania walio wengi, ndivyo watakavyopendelea kuona mdahalo wa aina hiyo, Kwenye uchaguzi Mkuu wa mwakani wa wagombea wa vyama vya siasa mwakani, ukiendeshwa na kituo hicho, chini ya mtangazaji nguli Chifu Odemba.
Hata hivyo najua kuwa kulifanyika juhudi kubwa miaka ya nyuma, Kila ilipofika wakati wa uchaguzi mkuu, kuwataka wagombea wa vyama vya siasa, washiriki Kwenye mdahalo wa aina hiyo, lakini kizingiti kikubwa ilikuwa chama Cha CCM, ambacho kimekuwa kikiukataa mdahalo huo!
Ninaamini pia kupitia Kwenye mdahalo huo, ndipo tutawajua wagombea Urais wa vyama mbalimbali, kuhusu sera zao na namna watakavyokabiliana na uongozi na namna ya kuliletea maendeleo makubwa Taifa letu
Tutambue pia kuwa ni mataifa yote duniani, yanayoutumia mtindo huu wa mdahalo wa wagombea Urais, Kila inapofika nyakati za uchaguzi.
Mathalani tulishuhudia hivi karibuni huko nchini Marekani, wagombea Urais wa vyama vya Democrats, Joe Biden na mwenzske wa Republican, Donald Trump, wakichuana vikali katika mdahalo huo, ambao hatimaye umemuweka pembeni mgombea Urais wa chama Cha Democrats, Joe Biden, baada ya kufanya vibaya Kwenye mdahalo huo, sababu zikielezwa kuwa ni kutokana na umri mkubwa.
Hivi bila mdahalo huo, nchi ya Marekani ingeweza kuwa na mgombea Urais wa Chama Cha Democrats, Kamara Harris??
Jibu ni Hapana
Kwa hiyo Kwa kuwa tunajua umuhimu mkubwa wa kuwa na Rais wa Taifa lolote ni jukumu kubwa sana Kwa maendeleo ya wananchi wa Taifa husika, Kwa hiyo naamini upo ulazima wa kuendesha mdahalo wa aina hiyo, Ili tuweze kuwapima wagombea wetu wa Urais, tunaotegemea kuwapigia kura, Ili waweze kuliongoza Kwa weledi mkubwa Taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania
Pia, soma: Mdahalo wa Wagombea Urais wa Chama cha Mawakili Tanzania Bara 2024
Katiba haiwezi kuja kama hisani lazima tuidaiNa hili liwe takwa muhimu katika katiba mpya
Kwa mfumo wa nchi hii unavyoenda, Hilo unalolisema linawezekana kabisa😗Samia akishiriki mdahalo si baada ya hapo CCM watalipa machawa kufanya damage control !
Huku maelekezo ya Chief Odemba kukamtwa na kuandaliwa makosa ya kubumba.
Alinichekesha jamaa mmmojaaa alisema kweli mwanachama wa ccmNilishuhudia mdahalo wa wagombea Urais wa TLS, uliofanyika katika kituo Cha luninga Cha Star TV, ukiongozwa na mtangazaji wao mahiri, chifu Odemba, ulioendeshwa Kwa takribani masaa mawili na nusu, ambao ulikuwa mzuri sana na wa kiwango Cha kimataifa, ambao uligusa Kila aina ya nyanja ya taaluma hiyo ya sheria na Taifa Kwa ujumla.
Ningependelea na naamini watanzania walio wengi, ndivyo watakavyopendelea kuona mdahalo wa aina hiyo, Kwenye uchaguzi Mkuu wa mwakani wa wagombea wa vyama vya siasa mwakani, ukiendeshwa na kituo hicho, chini ya mtangazaji nguli Chifu Odemba.
Hata hivyo najua kuwa kulifanyika juhudi kubwa miaka ya nyuma, Kila ilipofika wakati wa uchaguzi mkuu, kuwataka wagombea wa vyama vya siasa, washiriki Kwenye mdahalo wa aina hiyo, lakini kizingiti kikubwa ilikuwa chama Cha CCM, ambacho kimekuwa kikiukataa mdahalo huo!
Ninaamini pia kupitia Kwenye mdahalo huo, ndipo tutawajua wagombea Urais wa vyama mbalimbali, kuhusu sera zao na namna watakavyokabiliana na uongozi na namna ya kuliletea maendeleo makubwa Taifa letu
Tutambue pia kuwa ni mataifa yote duniani, yanayoutumia mtindo huu wa mdahalo wa wagombea Urais, Kila inapofika nyakati za uchaguzi.
Mathalani tulishuhudia hivi karibuni huko nchini Marekani, wagombea Urais wa vyama vya Democrats, Joe Biden na mwenzske wa Republican, Donald Trump, wakichuana vikali katika mdahalo huo, ambao hatimaye umemuweka pembeni mgombea Urais wa chama Cha Democrats, Joe Biden, baada ya kufanya vibaya Kwenye mdahalo huo, sababu zikielezwa kuwa ni kutokana na umri mkubwa.
Hivi bila mdahalo huo, nchi ya Marekani ingeweza kuwa na mgombea Urais wa Chama Cha Democrats, Kamara Harris??
Jibu ni Hapana
Kwa hiyo Kwa kuwa tunajua umuhimu mkubwa wa kuwa na Rais wa Taifa lolote ni jukumu kubwa sana Kwa maendeleo ya wananchi wa Taifa husika, Kwa hiyo naamini upo ulazima wa kuendesha mdahalo wa aina hiyo, Ili tuweze kuwapima wagombea wetu wa Urais, tunaotegemea kuwapigia kura, Ili waweze kuliongoza Kwa weledi mkubwa Taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania
Pia, soma: Mdahalo wa Wagombea Urais wa Chama cha Mawakili Tanzania Bara 2024
Tunataka tutengeneze utamaduni mpya.Mdahalo? Kama ule wa Msigwa vs Sugu? Au Biden vs Trump?
Nchi hii ambapo Rais hahitaji kura ya mtu yeyote kuwa madarakani? Ambapo yeye ndiye anayeamua matokeo anayoyataka?
Mleta mada umeamua kuchangamsha baraza.
Halafu katika nchi hii nani yuko tayari kuona Rais akiadhirishwa kama ilivyomtokea Biden majuzi? Hapa wajinga wengi hudai Rais ni nembo ya taifa hivyo haitakiwi kabisa afedheheshwe kwa namna yoyote ile. Rais asiyehojiwa anaulizwaje swali gumu in front of her husband, totos and machawa?
Hawawezi kukubali odemba Hana cha msalia mtumeNilishuhudia mdahalo wa wagombea Urais wa TLS, uliofanyika katika kituo Cha luninga Cha Star TV, ukiongozwa na mtangazaji wao mahiri, chifu Odemba, ulioendeshwa Kwa takribani masaa mawili na nusu, ambao ulikuwa mzuri sana na wa kiwango Cha kimataifa, ambao uligusa Kila aina ya nyanja ya taaluma hiyo ya sheria na Taifa Kwa ujumla.
Ningependelea na naamini watanzania walio wengi, ndivyo watakavyopendelea kuona mdahalo wa aina hiyo, Kwenye uchaguzi Mkuu wa mwakani wa wagombea wa vyama vya siasa mwakani, ukiendeshwa na kituo hicho, chini ya mtangazaji nguli Chifu Odemba.
Hata hivyo najua kuwa kulifanyika juhudi kubwa miaka ya nyuma, Kila ilipofika wakati wa uchaguzi mkuu, kuwataka wagombea wa vyama vya siasa, washiriki Kwenye mdahalo wa aina hiyo, lakini kizingiti kikubwa ilikuwa chama Cha CCM, ambacho kimekuwa kikiukataa mdahalo huo!
Ninaamini pia kupitia Kwenye mdahalo huo, ndipo tutawajua wagombea Urais wa vyama mbalimbali, kuhusu sera zao na namna watakavyokabiliana na uongozi na namna ya kuliletea maendeleo makubwa Taifa letu
Tutambue pia kuwa ni mataifa yote duniani, yanayoutumia mtindo huu wa mdahalo wa wagombea Urais, Kila inapofika nyakati za uchaguzi.
Mathalani tulishuhudia hivi karibuni huko nchini Marekani, wagombea Urais wa vyama vya Democrats, Joe Biden na mwenzske wa Republican, Donald Trump, wakichuana vikali katika mdahalo huo, ambao hatimaye umemuweka pembeni mgombea Urais wa chama Cha Democrats, Joe Biden, baada ya kufanya vibaya Kwenye mdahalo huo, sababu zikielezwa kuwa ni kutokana na umri mkubwa.
Hivi bila mdahalo huo, nchi ya Marekani ingeweza kuwa na mgombea Urais wa Chama Cha Democrats, Kamara Harris??
Jibu ni Hapana
Kwa hiyo Kwa kuwa tunajua umuhimu mkubwa wa kuwa na Rais wa Taifa lolote ni jukumu kubwa sana Kwa maendeleo ya wananchi wa Taifa husika, Kwa hiyo naamini upo ulazima wa kuendesha mdahalo wa aina hiyo, Ili tuweze kuwapima wagombea wetu wa Urais, tunaotegemea kuwapigia kura, Ili waweze kuliongoza Kwa weledi mkubwa Taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania
Pia, soma: Mdahalo wa Wagombea Urais wa Chama cha Mawakili Tanzania Bara 2024
Sawa. Si vibaya kujipa matumaini na kujimwambafy kidogo. Ndicho kilichobakia. Kila la heri.😁Tunataka tutengeneze utamaduni mpya.
As far as tunayemchagua ni kiongozi wetu sote, basi tunaweza kumlazimisha atake-asitake ashiriki Kwenye mdahalo😅