Pre GE2025 MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe haji
 
kwani kama anashambuliwa kwa tuhuma au mambo ya kweli hauoni ni afya kwa ustawi wa siasa zetu na taifa?

Tunataka mijadala ya namna hii zaidi na zaidi,sio mambo za mitano tena!
Njoo ueleze umefanya nini na utafanya nini, period!
Mbowe ameshasepa😆😆
 
Tafadhali sana, Mbowe asilete visingizio vyovyote ili kukwepa mdahalo huu. Kukimbia mdahalo huu bila sababu za msingi sana ni ni sawa na Goalkeeper kukimbia kudaka mpira wa adui yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…