RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Kazi ipo.Speed huwa inaendana na aina ya gari. UNA VX 8 UNATAKA utembee mwendo wa RAV4? Lakini pia speed huashiria uimara na umakini wa dereva barabarani, speed huashiria na huwakilisha namna gani wanatakiwa kufanya na kulekeleza maendeleo kwa speed. nb mengine nimechapia,ila cha muhimu ni kuwa speed hutokana na aina ya gari.