Mdau ajitolea kuwapa maji ya kunywa wote wanaohudhuria Kesi ya Mbowe Mahakamani

Kwahiyo pali Mtaa wa Livingsone Bakhresa huwa anagawa Maji ya bure huwa anamtishia jaji gani?
Mbona unatoka nje ya mada sasa. Baresa anakujaje hapa. Puuzi moja kumbe
 
Hii kesi ni ya kipumbavu. Ningekuwa Chadema hata nisingejisumbua hii kesi haiendi popote.
 
Mdau au ni wewe.....bila shaka wewe ni mwenye dela hapo....mashaallah...
 
Kwenye basi ukisafiri unashauriwa usikubali kupokea maji au chakula kwa abiria mwenzio usiyemjua sembuse mahakamani? Jitu linakuja hujui lilikotokea linaanza kukugawia maji na wewe unapokea tu na kunywa akili unazo wewe?
 
Kwenye basi ukisafiri unashauriwa usinubali kupokea maji au chakula kwa abiria mwenzio usiyemjua sembuse mahakamani? Jitu linakuja hujui lilikotokea linaanza kukugawia maji na wewe unapokea tu na kunywa akili unazo wewe?
Acha ushabiki Bibie,Maji tu waliopelekewa Wananchi wanaosikiliza Kesi ya kubabikwa inayomkabili Mwamba Mbowe yanakutoa roho,mbona unaroho mbaya kiasi hicho we Dada.
 
Ndio kusema ofisi hamna watu mpaka mwenyekiti arudi.sasa akitoka hapo gharama za kesi zitamaliza acc yote.
 
Kwenye basi ukisafiri unashauriwa usikubali kupokea maji au chakula kwa abiria mwenzio usiyemjua sembuse mahakamani? Jitu linakuja hujui lilikotokea linaanza kukugawia maji na wewe unapokea tu na kunywa akili unazo wewe?
Aibu kubwa sana kwa wazazi wako , hivi umembiwa ni maji ya kandoro yale ?
 
Rushwa hiyo,huyo atafutwe na ahojiwe ,katumwa na Nani!?, na kisudio lake ni Nini!? je anatafuta namna ya kuwashawishi watu walundikane hapo viwanja vya mahakama!?
Enzi za Jiwe jamaa ingekula kwake 😅 ila kwa sasa amani tu!
 
Sasa tumetoka kwa muuza mbege wa Rau Madukani tumekuja kwa mgawa maji wa Mawasiliano mahakamani.
 
Hata huyo bi mkubwa wake nae anasaidia kupeleka siku mbele,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…