Lakini mdau amehoji kuwa akilipa elf 7 kwa wiki mara 4 ni elf 28, sawa na anayelipa elf 28 kwa mwezi, mara moja ni sawa anadhulumiwa anayelipa elf 7 na baadhi ya chanel hafunguliwiZBC 2 ni channel ya dini na inalipiwa ndio iwe ya mpira, yaani channel ya Allah subhuhannah wanatoza hela ndio iwe channel ya mikeka
Kibiashara when you pay less you loose, Hawa wanataka 28 Paaa! siyo ya kuunga ungaLakini mdau amehoji kuwa akilipa elf 7 kwa wiki mara 4 ni elf 28, sawa na anayelipa elf 28 kwa mwezi, mara moja ni sawa anadhulumiwa anayelipa elf 7 na baadhi ya chanel hafunguliwi
Watalifanyia kaziHonla
Kwanza ameanza kulalia kwake kuwa hali ni mbaya ya kiuchumi pili kawapongeza azam tv kwa utashi na muono wao wa uongozi mzuri wa vipindi vyao” nyama nyama
Akahoji kuwa elf 7 mara 4= 28 yaani ukiwa unanunua kifurushi cha elf 7 kila wiki cha elf mara nne yaani mwezi mzima inakuja elf 28 ambayo ukilipa kwa mara moja kwa mwezi ni sawa na ukiwa unaunga unga; bado amelalamikia hali mbaya kwa maelezo hayo
Pia amehoji kuwa kama Azam tv hawatamuwekea mteja wao channels za mpira ni sawa na wanamzulumu mteja wao maana atakuwa analipa gharama sawa na mteja ambaye atalipa mara moja elf 28 kwa kifurushi cha mwezi
Na Mimi naongezea kuhoji kwenye hili” Azam tv wana kila sababu ya kumsikiliza mtoa hoja na sisi ambao wachangia hoja kuwa tunaumia na hilo, hata kama tutalipa wiki hii na wiki ijayo hatutalipa “ tunawaomba mtufungulie na channels za mpira kwa elf saba kwa kifurushi cha wiki “ tunawaomba sana hali ni mbaya .
Hatuwezi kusema mnatudhulumu ni technically za kibiashara, na mngeweza kusema hamtaki mteja wenu alipie kifurushi cha wiki, mnataka alipie cha mwezi mara moja ili apate huduma yenu, tunawashukuru kwa kutupa huduma nzuri na kutupa vifurushi vya wiki kwa elf 7 tunaomba mtupe na channels za mpira kwa kifurushi cha elf 7
Hali ni mbaya azam tv, na kama mnauona uzi huu naomba mlifanyie kazi lifike kwa uongozi wa azam pia mimi binafs naomba kazi hata ya kuingiza sauti kwani sina kazi, nitawashukuru sana nikipata kazi kwenye uingizaji sauti, nakazia sina kazi
View attachment 3612074
Mimi nikiwa bongo naitumia DSTV na. Azam, lakini ofa za DSTV ni balaa, Bali sijawahi kupata ofa kutoka AzamHatari
Yeah ndio ipo hivyo ila wangeweka na channels za mpira ingekuwa vizuri mno na kuwapa hamasa watu kulipia kila wikiItakuwa wanataka ulipie jumla, kwa sababu hii ya wiki wiki mtu anaweza lipia wiki hii akakaa ata mwezi ndo akalipia tena nahisi ndiyo maana hawataki robo robo wanataka ulipie ya mwezi mzima
😹😹😹ZBC 2 ni channel ya dini na inalipiwa ndio iwe ya mpira, yaani channel ya Allah subhuhannah wanatoza hela ndio iwe channel ya mikeka
Ukiona Mtu analipikia nusu nusu ujue h a mpango wa kutaka kulipia yote, so ishu ya 7k mara 4 ni danganya toto.Lakini mdau amehoji kuwa akilipa elf 7 kwa wiki mara 4 ni elf 28, sawa na anayelipa elf 28 kwa mwezi, mara moja ni sawa anadhulumiwa anayelipa elf 7 na baadhi ya chanel hafunguliwi
Ni hata kama atalipia elf 7 ni Azam wamepiga mahesabu kuwa ni roho ya elf 28, so ni sawa tu mtu kupata haki yake ya kuoneshewa chanel zote, hata kama hatolipa mfululizoUkiona Mtu analipikia nusu nusu ujue h a mpango wa kutaka kulipia yote, so ishu ya 7k mara 4 ni danganya toto.
Vp nikilipia hy 7k Afu nikaachana nayo nikakaa Mwezi mzima bila kulipa chcht?Ni hata kama atalipia elf 7 ni Azam wamepiga mahesabu kuwa ni roho ya elf 28, so ni sawa tu mtu kupata haki yake ya kuoneshewa chanel zote, hata kama hatolipa mfululizo
Mfano, unajua gharama za mechi moja?Hakuna tatzo au unaonaje?