Mdau; amehoji kwanini? Azam tv hawaonyeshi channels za mpira kifurushi cha 7,000 cha wiki

Mfano, unajua gharama za mechi moja?

Haya tuje na hy thamani ya buku saba yako.
Unataka useme kuwa elf 28 kwa mwezi Azam haiwatoshi ?

Na kwann? Upigie mahesabu kwa mteja mmoja kwanini? Usiseme watumiaji milion 30 wamelipa elf 7 kwa mwezi..

Unabidi uwe makini
 
Wangeweka Kwa wiki sh elfu 10 ila channels zote zibaki vile vile bado ingekuwa poa tu,wafanyie kazi ushauri huu
 
Niwe makini kwenye ishu gn
Uwe makini kusema elf 7 yangu tu ndio ilipie gharama za Azam kulipia mpira wakati nchi ina watu zaid ya millioni 60

Na inakuaje? Watu million 60 wakalipia elf 7 kwa mwezi…

Au umeiona elf 7 ni ndogo kwa upande gani? Mkuu
 
Duuh na Mimi kifurushi changu Cha Azam kina expire tarehe24/25 juni na kikiisha Sina cash yote elfu28 mwezi huu umenikutia vibaya... So kombe la Dunia hii baadhi mechi nitazikosa uko mbeleni hasa zile mechi kubwa kubwa za muhimu kuangalia alafu zipo saa7 au saa9 na saa10 za Usiku maana ht vibanda umiza hawaoneshi...
Lakini uongoz Azam tv wangekuja ht na kifurushi Cha wiki Cha elfu10 km mdau mmoja alivyoproprose hapo chenye package ya channel za Mpira za Azam sports ht 2 au3 ingekaa poa zaidi kuliko nisilipie kbs au nilipie kifurushi kdgo Cha sinema zetu Cha elfu12 still na wao watapungukiwa kdgo mapato Azam, tunajua kweli tv rights za Mpira ni ghali sn
 
Kweli , waboreshe kidogo ili tupate na channel za mpira
 
Uwe makini kusema elf 7 yangu tu ndio ilipie gharama za Azam kulipia mpira wakati nchi ina watu zaid ya millioni 60

Na inakuaje? Watu million 60 wakalipia elf 7 kwa mwezi…

Au umeiona elf 7 ni ndogo kwa upande gani? Mkuu
Kwamba watu 60m wanatumia Azam?
Nadhani we ndio uwe makini sasa
 
Kwamba watu 60m wanatumia Azam?
Nadhani we ndio uwe makini sasa
Tatzo lako unakosa tu umakini, ukiwa makini utaelewa

Unapiga mahesabu azam tv natumia peke yangu
 
Ndio yale yale ya chips ni 2000, ila ukiomba za buku akupimie nusu ya zile za 2000, bado hupewi.
Hii inatofauti kidogo.
Sababu chips za 1000 ukiagiza Mara 2 unatumia vifungashio au sahani mara mbili mbili hiyo gharama.
Vivyo hivyo kupasha au kukaanga Mara mbilmbili unatumia nishati nyingi na mafuta mengi zaidi, jumlisha na muda.
Hali ipo tofauti na huduma ya vifurushi vya TV hakuna gharama wanazo ingia broadcaster mara mbilmbili. Labda service charge ya miamala ya malipo.
Lazima wapime, mtu akishindwa 28 ya pamoja anakaa miezi hajanunua kifurushi chochote hasara kwao, akinunua Cha 7000 Mara 4 wanapata kitu hata kama faida itapungua kidogo.
Bora nini hapo?
Kidogo au ukose chote?
 
Mtoa mada hiyo ishu haiwezekani.
Mfano mdogo tu unajua bei ya dumu la TOMATO kwa sasa...?
 
Hii inatofauti kidogo.
Sababu chips za 1000 ukiagiza Mara 2 unatumia vifungashio au sahani mara mbili mbili hiyo gharama.
Vivyo hivyo kupasha au kukaanga Mara mbilmbili unatumia nishati nyingi na mafuta mengi zaidi, jumlisha na muda.
Hali ipo tofauti na huduma ya vifurushi vya TV hakuna gharama wanazo ingia broadcaster mara mbilmbili. Labda service charge ya miamala ya malipo.
Lazima wapime, mtu akishindwa 28 ya pamoja anakaa miezi hajanunua kifurushi chochote hasara kwao, akinunua Cha 7000 Mara 4 wanapata kitu hata kama faida itapungua kidogo.
Bora nini hapo?
Kidogo au ukose chote?
Aisee sio kukosa chote
 
Back
Top Bottom