To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Ivo yaanna mimi napenda ambae ni hajazaa tuanze nae upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivo yaanna mimi napenda ambae ni hajazaa tuanze nae upya
Hata Mwenyezi Mungu hakuwahi kuwapa huu mtihani wa kuoa Single Mother manabii wake. Aliishia kuwapa mtihani wa kuoa malaya (Nabii Hosea). Wewe ni nani ujipe huu mtihani.Kwahiyo wewe unajiona upo sahihi sana Acha kuhukumu watu alafu hata ujui wanapitia nini au walipitia nini Acha ujuaji wewe kaka ,yaan unajikuta wewe ndo motivation speaker humu ndani ndoa ni maelewano kuna watu waliolewa wakiwa na watoto na wapo vizur kikubwa akili na kujitambua
Kuna watu wameolewa hawana watoto lakini wapo wapi ebu mtangulize Mungu wewe kwa kila jambo wewe
Mbona babu zetu walikuwa hawana akili mgando kama zako na wamaisha yalikuwa safi tu
Why single mama kila siku sio vizur wewe
Nyie mnaojitia midomo domo vizaz vyenu ndo vinaishia kuwa single mom kuwa humble ujafa ujaumbikaHata Mwenyezi Mungu hakuwahi kuwapa huu mtihani wa kuoa Single Mother manabii wake. Aliishia kuwapa mtihani wa kuoa malaya (Nabii Hosea). Wewe ni nani ujipe huu mtihani.
Kijana aukimbie huu mtihani kama cancer ya ini.
HujarogwaHuu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko.
"Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi.
Sasa kuna Dada nafanya nae kazi mimi ni kama boss wake nimemuajiri ananiuzia Mitumba, yeye anamiaka 26 ana mtoto mmoja, nishalalaga nae sasa ni ananipenda kupita kiasi sjui kama anaigiza lakini ananipenda sana na anatama nimtamkie kumuoa.
Mimi sihitaji kumuoa maana tayari kashazalishwa lakin kiukweli anafaa sana kuwa mke wa MTU na anatamani apate mwanaume alie serious amuoe, sometime roho inanisukuma kumuoa lakin daaah nahisi kuna kitu tu kinanizuia lakin yeye ni mwaminifu sana hacheat, hadangi, hajui kuomba omba hela na kiufupi tu namdrive navotaka.
sasa nifanyeje na ukingatia kashazalishwa na mimi napenda ambae ni hajazaa tuanze nae upya, hata Nyumban nikiwambia mke wangu anamtoto wa pemben hawawez kufurahi
Kuna mwamba jirani yangu Tabata nae alipiga hii Mkubwa anakaa nae Tabata na Mdogo kamjengea Ilala na kila moja ana watoto nae.kuna jamaa hapa ameoa mtu na dadake, kawajengea kabisa mmoja Igoma mwingine Busenga.
Maisha yanakwenda fresh kabisa.
kama HUNA HELA usiianze hio vita.
Ngoja nikushauri jambo kwa faida yako ya mbele ....Kwahiyo wewe unajiona upo sahihi sana Acha kuhukumu watu alafu hata ujui wanapitia nini au walipitia nini Acha ujuaji wewe kaka ,yaan unajikuta wewe ndo motivation speaker humu ndani ndoa ni maelewano kuna watu waliolewa wakiwa na watoto na wapo vizur kikubwa akili na kujitambua
Kuna watu wameolewa hawana watoto lakini wapo wapi ebu mtangulize Mungu wewe kwa kila jambo wewe
Mbona babu zetu walikuwa hawana akili mgando kama zako na wamaisha yalikuwa safi tu
Why single mama kila siku sio vizur wewe
unasema ni muaminifu halafu ana mtoto kabla hajaolewa!Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko.
"Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi.
Sasa kuna Dada nafanya nae kazi mimi ni kama boss wake nimemuajiri ananiuzia Mitumba, yeye anamiaka 26 ana mtoto mmoja, nishalalaga nae sasa ni ananipenda kupita kiasi sjui kama anaigiza lakini ananipenda sana na anatama nimtamkie kumuoa.
Mimi sihitaji kumuoa maana tayari kashazalishwa lakin kiukweli anafaa sana kuwa mke wa MTU na anatamani apate mwanaume alie serious amuoe, sometime roho inanisukuma kumuoa lakin daaah nahisi kuna kitu tu kinanizuia lakin yeye ni mwaminifu sana hacheat, hadangi, hajui kuomba omba hela na kiufupi tu namdrive navotaka.
sasa nifanyeje na ukingatia kashazalishwa na mimi napenda ambae ni hajazaa tuanze nae upya, hata Nyumban nikiwambia mke wangu anamtoto wa pemben hawawez kufurahi
Lakini mkiamka asubuhi umpe shikamoo yake, hata kama mlilala kitanda kimoja.Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko.
"Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi.
Sasa kuna Dada nafanya nae kazi mimi ni kama boss wake nimemuajiri ananiuzia Mitumba, yeye anamiaka 26 ana mtoto mmoja, nishalalaga nae sasa ni ananipenda kupita kiasi sjui kama anaigiza lakini ananipenda sana na anatama nimtamkie kumuoa.
Mimi sihitaji kumuoa maana tayari kashazalishwa lakin kiukweli anafaa sana kuwa mke wa MTU na anatamani apate mwanaume alie serious amuoe, sometime roho inanisukuma kumuoa lakin daaah nahisi kuna kitu tu kinanizuia lakin yeye ni mwaminifu sana hacheat, hadangi, hajui kuomba omba hela na kiufupi tu namdrive navotaka.
sasa nifanyeje na ukingatia kashazalishwa na mimi napenda ambae ni hajazaa tuanze nae upya, hata Nyumban nikiwambia mke wangu anamtoto wa pemben hawawez kufurahi
Dada/binti yangu akiamua kuwa single mother hiyo ni hiyari yake. So long hatabeba jina la ukoo wangu kwenye hicho kizazi chake basi hilo haliniumizi kichwa. Kwenye maisha kupanga ni kuchagua.Nyie mnaojitia midomo domo vizaz vyenu ndo vinaishia kuwa single mom kuwa humble ujafa ujaumbika
Yaan unamtukan kilema wakati hata ww ni kilema mtarajiwa alafu nyie mnajitia single mom single mom ukute mna dada zenu mama zenu Masingle mom hadi wake zenu ila midomo huku mirefu
Yaan ni sawa sawa kila wanaume anajifanya siwapendi mashoga wakati nyie nyie ndo mnawaharibu wanaume Wenzenu mkija mtandaon mnjikuta wajuaji sana yaan mnajifanya watakatifu kumbe zero brain
Tafuta hela broo Acha makasiriko vijana wengi humu hali ngumu tafuta pesaDada/binti yangu akiamua kuwa single mother hiyo ni hiyari yake. So long hatabeba jina la ukoo wangu kwenye hicho kizazi chake basi hilo haliniumizi kichwa. Kwenye maisha kupanga ni kuchagua.
Halafu iko hivi mwanaume anayeoa single mother huku yeye akiwa hana watoto, huyo lazima ana kitu kimepungua katika uanaume wake. Hivyo hivyo mwanamke anaekubali kufanywa single mother basi huyo ni mpumbavu na kamwe huyo hastahili kuwa mke wa mwanaume mwerevu anayejitambua. In short single mother ni kwa ajili ya kuolewa na wanaume mbumbumbu.
Ahahahah..yan vijana ni wapumbavu sana mkuu!. 😂Akuombe hela wakati ana biashara yako yeye anajua anakata wapi mzee 😂😂 kwanza mahesabu unapata kwa wakati
Ahahahaha.kuna jamaa hapa ameoa mtu na dadake, kawajengea kabisa mmoja Igoma mwingine Busenga.
Maisha yanakwenda fresh kabisa.
kama HUNA HELA usiianze hio vita.