Mdau anaomba ushauri: Nimetembea na Mfanyakazi wangu ana sifa zote za kuwa mke ila ameshazalishwa, nifanyeje?

Kwahiyo wewe unajiona upo sahihi sana Acha kuhukumu watu alafu hata ujui wanapitia nini au walipitia nini Acha ujuaji wewe kaka ,yaan unajikuta wewe ndo motivation speaker humu ndani ndoa ni maelewano kuna watu waliolewa wakiwa na watoto na wapo vizur kikubwa akili na kujitambua
Kuna watu wameolewa hawana watoto lakini wapo wapi ebu mtangulize Mungu wewe kwa kila jambo wewe
Mbona babu zetu walikuwa hawana akili mgando kama zako na wamaisha yalikuwa safi tu
Why single mama kila siku sio vizur wewe
Hata Mwenyezi Mungu hakuwahi kuwapa huu mtihani wa kuoa Single Mother manabii wake. Aliishia kuwapa mtihani wa kuoa malaya (Nabii Hosea). Wewe ni nani ujipe huu mtihani.

Kijana aukimbie huu mtihani kama cancer ya ini.
 
Nyie mnaojitia midomo domo vizaz vyenu ndo vinaishia kuwa single mom kuwa humble ujafa ujaumbika
Yaan unamtukan kilema wakati hata ww ni kilema mtarajiwa alafu nyie mnajitia single mom single mom ukute mna dada zenu mama zenu Masingle mom hadi wake zenu ila midomo huku mirefu
Yaan ni sawa sawa kila wanaume anajifanya siwapendi mashoga wakati nyie nyie ndo mnawaharibu wanaume Wenzenu mkija mtandaon mnjikuta wajuaji sana yaan mnajifanya watakatifu kumbe zero brain
 
Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko.

"Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi.

Sasa kuna Dada nafanya nae kazi mimi ni kama boss wake nimemuajiri ananiuzia Mitumba, yeye anamiaka 26 ana mtoto mmoja, nishalalaga nae sasa ni ananipenda kupita kiasi sjui kama anaigiza lakini ananipenda sana na anatama nimtamkie kumuoa.

Mimi sihitaji kumuoa maana tayari kashazalishwa lakin kiukweli anafaa sana kuwa mke wa MTU na anatamani apate mwanaume alie serious amuoe, sometime roho inanisukuma kumuoa lakin daaah nahisi kuna kitu tu kinanizuia lakin yeye ni mwaminifu sana hacheat, hadangi, hajui kuomba omba hela na kiufupi tu namdrive navotaka.

sasa nifanyeje na ukingatia kashazalishwa na mimi napenda ambae ni hajazaa tuanze nae upya, hata Nyumban nikiwambia mke wangu anamtoto wa pemben hawawez kufurahi
Hujarogwa
 
kuna jamaa hapa ameoa mtu na dadake, kawajengea kabisa mmoja Igoma mwingine Busenga.

Maisha yanakwenda fresh kabisa.

kama HUNA HELA usiianze hio vita.
Kuna mwamba jirani yangu Tabata nae alipiga hii Mkubwa anakaa nae Tabata na Mdogo kamjengea Ilala na kila moja ana watoto nae.
 
Kwahiyo wewe unajiona upo sahihi sana Acha kuhukumu watu alafu hata ujui wanapitia nini au walipitia nini Acha ujuaji wewe kaka ,yaan unajikuta wewe ndo motivation speaker humu ndani ndoa ni maelewano kuna watu waliolewa wakiwa na watoto na wapo vizur kikubwa akili na kujitambua
Kuna watu wameolewa hawana watoto lakini wapo wapi ebu mtangulize Mungu wewe kwa kila jambo wewe
Mbona babu zetu walikuwa hawana akili mgando kama zako na wamaisha yalikuwa safi tu
Why single mama kila siku sio vizur wewe
Ngoja nikushauri jambo kwa faida yako ya mbele ....
""Unapokuwa una jibishana na mtu, jaribu kutoa hoja na STOP PERSONAL ATTACKS""
Mambo ya mtu ana kichwa kikubwa, anajidai, anajifanya, mjinga, mpumbavu na vitu kama hivyo SIO VYEMA kwenye KUJENGA HOJA.

Na ukihisi una hoja na hukubaliani na mtu then just AGREE to DISAGREE.

ASANTE.

#YNWA
 
Mi nikishasikia tu single maza sitaki hata kujua ilikuwaje mood yoote inaisha
 
Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko.

"Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi.

Sasa kuna Dada nafanya nae kazi mimi ni kama boss wake nimemuajiri ananiuzia Mitumba, yeye anamiaka 26 ana mtoto mmoja, nishalalaga nae sasa ni ananipenda kupita kiasi sjui kama anaigiza lakini ananipenda sana na anatama nimtamkie kumuoa.

Mimi sihitaji kumuoa maana tayari kashazalishwa lakin kiukweli anafaa sana kuwa mke wa MTU na anatamani apate mwanaume alie serious amuoe, sometime roho inanisukuma kumuoa lakin daaah nahisi kuna kitu tu kinanizuia lakin yeye ni mwaminifu sana hacheat, hadangi, hajui kuomba omba hela na kiufupi tu namdrive navotaka.

sasa nifanyeje na ukingatia kashazalishwa na mimi napenda ambae ni hajazaa tuanze nae upya, hata Nyumban nikiwambia mke wangu anamtoto wa pemben hawawez kufurahi
unasema ni muaminifu halafu ana mtoto kabla hajaolewa!
Acha ubwege
 
Lakini mkiamka asubuhi umpe shikamoo yake, hata kama mlilala kitanda kimoja.
 
Tulishasema sana usije ukadhubutu kuoa mwanamke aliye kwisha kuzalishwa kwa namna yeyote ile huyo ni mke wa watu. Isipo kuwa tuu awe mjane na ujue sababu za kifo cha mwanaume aliye zaa nae na ikiwezekana kaburi ukalishike na upime DNA ya marehemu na Mtoto uliye mkuta naye huyo mwanadada.

Nyie endeleeni kukaza mafuvu yenu kutokana na genye zenu.
 
Nyie mnaojitia midomo domo vizaz vyenu ndo vinaishia kuwa single mom kuwa humble ujafa ujaumbika
Yaan unamtukan kilema wakati hata ww ni kilema mtarajiwa alafu nyie mnajitia single mom single mom ukute mna dada zenu mama zenu Masingle mom hadi wake zenu ila midomo huku mirefu
Yaan ni sawa sawa kila wanaume anajifanya siwapendi mashoga wakati nyie nyie ndo mnawaharibu wanaume Wenzenu mkija mtandaon mnjikuta wajuaji sana yaan mnajifanya watakatifu kumbe zero brain
Dada/binti yangu akiamua kuwa single mother hiyo ni hiyari yake. So long hatabeba jina la ukoo wangu kwenye hicho kizazi chake basi hilo haliniumizi kichwa. Kwenye maisha kupanga ni kuchagua.

Halafu iko hivi mwanaume anayeoa single mother huku yeye akiwa hana watoto, huyo lazima ana kitu kimepungua katika uanaume wake. Hivyo hivyo mwanamke anaekubali kufanywa single mother basi huyo ni mpumbavu na kamwe huyo hastahili kuwa mke wa mwanaume mwerevu anayejitambua. In short single mother ni kwa ajili ya kuolewa na wanaume mbumbumbu.
 
Tafuta hela broo Acha makasiriko vijana wengi humu hali ngumu tafuta pesa
 
kuna jamaa hapa ameoa mtu na dadake, kawajengea kabisa mmoja Igoma mwingine Busenga.

Maisha yanakwenda fresh kabisa.

kama HUNA HELA usiianze hio vita.
Ahahahaha.
Kuna mzee mmoja kamuoa shangazi (first born katika line up ya uzao wa akina baba) na kazaa nae. Halafa akaja akamgonga mpaka kumpa minba shangazi yangu mwingine ambaye ndio last born kwa familia ya akina baba.

Kumbuka huyo shangaz wa kwanza ni mkubwa kwa baba.

Huu uhuni upogobtoka kitambo sana
 
Back
Top Bottom