Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hio variation sio torelable mzee project ata uki-estimate 25% as a miscellaneous still haitafika hio stated figure pana shida hapoHawa wasomi wetu majanga. Kukadiriwa sio sawa na kukusudiwa. Kabla ya mradi kuanza wataalam wanakadiria gharama za ujenzi. Gharama ya awali ya mradi inajulikana baada ya kuingia mkataba na Mkandarasi. Gharama kamili ya mradi inajulikana baada ya mradi kufungwa baada ya muda wa matazamio kukamilika.
Hawa wasomi wetu majanga. Kukadiriwa sio sawa na kukusudiwa. Kabla ya mradi kuanza wataalam wanakadiria gharama za ujenzi. Gharama ya awali ya mradi inajulikana baada ya kuingia mkataba na Mkandarasi. Gharama kamili ya mradi inajulikana baada ya mradi kufungwa baada ya muda wa matazamio kukamilika. Hii maana yake ni kuwa hata hiyo gharama aliyotaja CAG inaweza kuongezeka au kupungua. Ongezeko linaweza kusababishwa na malipo ya Mkandarasi kucheleweshwa, kutokabidhiwa eneo tupu katika wakati muafaka, ucheleweshaji wa maamuzi, mazingira ya ujenzi, matakwa ya mwenye mradi kuongezeka, kuwa tofauti na ilivyo katika mkataba n.k. Zinaweza kupungua kama mwenye mwenye mradi atapunguza baadhi ya kazi zilizomo katika mkataba, mkandarasi akichelewesha kazi bila sababu za kuridhisha n.k.
Amandla...
Una hoja ya unatakiwa usikilizwe lakini pamoja na hayo,wadau lazima waongeze cha juu tuHawa wasomi wetu majanga. Kukadiriwa sio sawa na kukusudiwa. Kabla ya mradi kuanza wataalam wanakadiria gharama za ujenzi. Gharama ya awali ya mradi inajulikana baada ya kuingia mkataba na Mkandarasi. Gharama kamili ya mradi inajulikana baada ya mradi kufungwa baada ya muda wa matazamio kukamilika. Hii maana yake ni kuwa hata hiyo gharama aliyotaja CAG inaweza kuongezeka au kupungua. Ongezeko linaweza kusababishwa na malipo ya Mkandarasi kucheleweshwa, kutokabidhiwa eneo tupu katika wakati muafaka, ucheleweshaji wa maamuzi, mazingira ya ujenzi, matakwa ya mwenye mradi kuongezeka, kuwa tofauti na ilivyo katika mkataba n.k. Zinaweza kupungua kama mwenye mwenye mradi atapunguza baadhi ya kazi zilizomo katika mkataba, mkandarasi akichelewesha kazi bila sababu za kuridhisha n.k.
Amandla...
Variation haiwi based kwenye estimate. Kama inaonekana quotation ya Mkandarasi imezidi mno estimate, njia pekee ni kukataa kuingia kwenye mkataba nae.Hio variation sio torelable mzee project ata uki estimate 25% as a miscellaneous still haitafika hio stated figure panashida apo
Mmmh!kwani hayo yote si hua yanafanyika kwenye upembuzi yakinifu?Hawa wasomi wetu majanga. Kukadiriwa sio sawa na kukusudiwa. Kabla ya mradi kuanza wataalam wanakadiria gharama za ujenzi. Gharama ya awali ya mradi inajulikana baada ya kuingia mkataba na Mkandarasi. Gharama kamili ya mradi inajulikana baada ya mradi kufungwa baada ya muda wa matazamio kukamilika. Hii maana yake ni kuwa hata hiyo gharama aliyotaja CAG inaweza kuongezeka au kupungua. Ongezeko linaweza kusababishwa na malipo ya Mkandarasi kucheleweshwa, kutokabidhiwa eneo tupu katika wakati muafaka, ucheleweshaji wa maamuzi, mazingira ya ujenzi, matakwa ya mwenye mradi kuongezeka, kuwa tofauti na ilivyo katika mkataba n.k. Zinaweza kupungua kama mwenye mwenye mradi atapunguza baadhi ya kazi zilizomo katika mkataba, mkandarasi akichelewesha kazi bila sababu za kuridhisha n.k.
Amandla...
Hilo nalo linawezekana kabisa. Na wakati mwingine hicho cha mbele kinapatikana kwa kupunguza quality.Una hoja ya unatakiwa usikilizwe lakini pamoja na hayo,wadau lazima waongeze cha juu tu
Upo sawa lakini makadirio ya gharama yaje ku double hapo kuna walakini mkuu. Yanii gharama za mradi zizidi makadirio kwa aslimia 80+??Hawa wasomi wetu majanga. Kukadiriwa sio sawa na kukusudiwa. Kabla ya mradi kuanza wataalam wanakadiria gharama za ujenzi. Gharama ya awali ya mradi inajulikana baada ya kuingia mkataba na Mkandarasi. Gharama kamili ya mradi inajulikana baada ya mradi kufungwa baada ya muda wa matazamio kukamilika. Hii maana yake ni kuwa hata hiyo gharama aliyotaja CAG inaweza kuongezeka au kupungua. Ongezeko linaweza kusababishwa na malipo ya Mkandarasi kucheleweshwa, kutokabidhiwa eneo tupu katika wakati muafaka, ucheleweshaji wa maamuzi, mazingira ya ujenzi, matakwa ya mwenye mradi kuongezeka, kuwa tofauti na ilivyo katika mkataba n.k. Zinaweza kupungua kama mwenye mwenye mradi atapunguza baadhi ya kazi zilizomo katika mkataba, mkandarasi akichelewesha kazi bila sababu za kuridhisha n.k.
Amandla...
Sio lazima. Miradi yetu mingi haifanyiwi feasibility study.Mmmh!kwani hayo yote si hua yanafanyika kwenye upembuzi yakinifu? Na tenda si hua zinatangazwa watu wanashindania inakuaje mtu akabidhiwe eneo la mradi ambalo ni chafu chafu litakalo ongeza gharama Tena kwani yeye si anakua kapaona mwanzo kafanya tathimini zake au?
Mkandarasi hawezi kufanya feasibility study. Sio wajibu wake.Inakuaje wataalam wanakadilia kabla hata mkandarasi hajafanya feasibility study ili na yeye aje na makadilio yake kulingana na alivyoliona eneo na bado hao wataalam wanapeleka kupitisha Moja kwa Moja?
Mkandarasi anachoweza kufanya ni kuainisha tu changamoto anazoziona lakini halazimiki kufanya hivyo. Mkandarasi hakadirii bajeti.kwanini baada ya mkandarasi kuona eneo na changamoto zake wasirudi mezani kwenye mazungumzo kabla ya kupitisha bajeti waliyo ikadilia peke Yao.
Inawezekana kama Mkadiriaji hana experience na mradi wa aina ile. Ukweli ni kuwa wataalam wetu wengi serikalini hawana hiyo experience.Upo sawa lakini makadirio ya gharama yaje ku double hapo kuna walakini mkuu. Yanii gharama za mradi zizidi makadirio kwa aslimia 80+??
Hata hii barabara ya Morogoro (Morogoro road); kutoka Kibaha mpaka Morogoro ingekuwa imekwisha.Hizo km 151 tayari zingeunganisha Arusha na Mara au Simiyu na kuvuta mashabiki kadhaa tokea mikoa hiyo jirani huku mawasiliano baina ya mikoa hiyo ikiimarika.
Unataka kuniambia ndio mradi mkubwa wa kwanza tumefanya. Nchii hii haina wataalamu wa kufanya feasibility study, hakuna hata consultants?Inawezekana kama Mkadiriaji hana experience na mradi wa aina ile. Ukweli ni kuwa wataalam wetu wengi serikalini hawana hiyo experience.
Amandla...
kwqni Makonda alikuwa Waziri kipindi hicho sometime msiwe mnakurupuka tu kuweka postView attachment 3564872View attachment 3564873
Tungeshangaa sana kama kungekuwa na matokeo tofauti na haya, kenge tuna kumbukumbu ndogo sana sisi