New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Unajinyima fursa sana ,hapo ulipo hukupaswa kuwa kiuchumi (fanyia kazi )Habari wakuu
Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia.
Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ?
#Oktoba_tunatoka
Asante sana mkuu wangu nitalifanyia kaziUnajinyima fursa sana ,hapo ulipo hukupaswa kuwa kiuchumi (fanyia kazi )
Ila ukimkuta pisi unamsalmia Au sioHabari wakuu
Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia.
Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ?
#Oktoba_tunatoka
Unaingia kwenye Daladala unasalimia watu usiowajua ??Inategemeana na unamuonaje huyo abiria, kama ni mchangamfu unamsalimia kama kanuna unapiga kimya tu. Kuna wengine ukiingia tu garini unawasalimia wote habari zenu abiria hamjambo? hawaitikii hata mmoja, basi unaanza kujuta kwa nini nimesalimia hawajaitikia. Bora kunyamaza tu
Mkuu huwezi kusalimia mtu usiyemjua ?Unaingia kwenye Daladala unasalimia watu usiowajua ??
Siwezi kusalimia watu wote kwenye gariMkuu huwezi kusalimia mtu usiyemjua ?
Ni wewe peke yako ndo unapanda daladala humu JFVipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ?
kwani daladala sio gari, mkuu wanguNi wewe peke yako ndo unapanda daladala humu JF