Mdau Huwa unasalimia mtu unayekaa naye siti moja kwenye daladala au unakaushaga

Hongera sana mkuu wangu kusalimia watu sio jambo baya ila ni vile tu watu wengine watakavyo kupokea
 
Habari wakuu

Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia.

Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ?

#Oktoba_tunatoka
Imayegemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…