ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Serikali ilitoa fursa ya Vyama vya siasa kutoa maoni ya Mabadiliko ya sheria za Tume ya Uchaguzi,kama sikosei Chadema walisusa wakidai wanataka Katiba Mpya ilhali wanajua mda hautoshi.
My Take
Binafsi naunga mkono wazo hili ila Sasa shida ya kususa ya nyie Machadema ndio zinawatokea Puani.
In case Mbunge kafariki ,chama kilichokuwa na Mbunge kitoe mtu Moja kwa Moja bila uchaguzi mwingine tena.
======
Mara baada ya Zitto Kabwe kutangaza adhma yake ya kurejea kwenye mbio za kuutaka Ubunge kwenye uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025, Mtumiaji maarufu wa mtandao wa X (zamani Twitter) Bwana Onesmo Mushi amechapisha andiko lake mtandaoni akieleza kuwa wapo wanasiasa ambao anatamani wangerejea bungeni katika Bunge lijalo. Wasiwasi wake Mkubwa akiwataja baadhi yao kama Tundu Lissu,
Freeman Mbowe na Zitto Kabwe.
Amesema bahati mbaya ni kuwa haiwezekani wote wakarejea bungeni kutokana na uwezekano mkubwa wa mmoja wao kujitosa kwenye nafasi ya kuwania Urais wa nchi." Realistically speaking, ingekuwa faida kubwa sana kwa watanzania kama Mbowe na Lissu nao wangegombea ubunge na kurejea bungeni......
Kwa bahati mbaya haitawezekana kwa sababu mmoja anabidi ajitoe sadaka kwa maslahi makubwa ya chama. "I really wish kungekuwa na sheria inayomfanya first runner-up wa uchaguzi wa kiti cha Urais automatically kuwa mbunge." Amenukuliwa andiko lake.
Chanzo: Jambo TV