Nimesema chama kilichonufaika na viti maalum. Kwani chama chake kina mbunge yeyote? Hakina viti maalum bungeni hivyo asingekuwepo. Chama kinachokuwa na viti maalum ni chama chenye kura nyingi na kiko seriazKwa mantiki hyo mbungeni tungekuwa na mr.ubwabwa,ni wazo zuri