Pre GE2025 Mdau: Mgombea Urais wa pili kwa wingi wa kura awe Mbunge moja kwa moja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ya ccm.
kwan yule dogo nassari aliyekuwa Chadema na sasa hv n mkuu wa wilaya huko cjui wapi anasimamia sera za chama gn?
Au yule mwanamke aliyegombea urais nimesahau jina lake ambaye sasa hv n mkuu wa mkoa anasimamia sera za chama gn?
Alihama chama.

Sasa hapo Kitakuwa na Upinzani?
 
Siyo waziri tu awe waziri mkuu ama makamu wa Rais
Waziri mkuu na makamu wa rais hapana aisee, hapo lazima turudi kurekebisha katiba mana wakizinguana kutokana na utofauti wa vyama ujue itakuwa shida kubwa tofauti na mpinzani akiwa waziri/naibu Waziri.
 
Alihama chama.

Sasa hapo Kitakuwa na Upinzani?
Oh ya n kwel nassari alihama chama.
Vp huyo mwanamke mana yeye hajahama chama na nakumbuka samia alimwambia ukiwa mkuu wa wilaya n lazima usimamie sera za ccm hata kama ww sio mwanaccm na yule mama akaitikia sawa.
 
Hao sio Wapinzani wa ukweli na Huwa anavaa sare za ccm na anaingia kwenye Vikao.

Anaitwa Queen Sendiga RC wa Manyara
 
Kwahy Mpinzani wa kwel anapatikana Chadema tuu? Kwan nassari alikuwa chama gn?
 
Serikali ilitoa fursa ya Vyama vya siasa kutoa maoni ya Mabadiliko ya sheria za Tume ya Uchaguzi,kama sikosei Chadema walisusa wakidai wanataka Katiba Mpya ilhali wanajua mda hautoshi.

My Take
Binafsi naunga mkono wazo hili ila Sasa shida ya kususa ya nyie Machadema ndio zinawatokea Puani.

In case Mbunge kafariki ,chama kilichokuwa na Mbunge kitoe mtu Moja kwa Moja bila uchaguzi mwingine tena.

======
Mara baada ya Zitto Kabwe kutangaza adhma yake ya kurejea kwenye mbio za kuutaka Ubunge kwenye uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025, Mtumiaji maarufu wa mtandao wa X (zamani Twitter) Bwana Onesmo Mushi amechapisha andiko lake mtandaoni akieleza kuwa wapo wanasiasa ambao anatamani wangerejea bungeni katika Bunge lijalo. Wasiwasi wake Mkubwa akiwataja baadhi yao kama Tundu Lissu,
Freeman Mbowe na Zitto Kabwe.

Amesema bahati mbaya ni kuwa haiwezekani wote wakarejea bungeni kutokana na uwezekano mkubwa wa mmoja wao kujitosa kwenye nafasi ya kuwania Urais wa nchi." Realistically speaking, ingekuwa faida kubwa sana kwa watanzania kama Mbowe na Lissu nao wangegombea ubunge na kurejea bungeni......

Kwa bahati mbaya haitawezekana kwa sababu mmoja anabidi ajitoe sadaka kwa maslahi makubwa ya chama. "I really wish kungekuwa na sheria inayomfanya first runner-up wa uchaguzi wa kiti cha Urais automatically kuwa mbunge." Amenukuliwa andiko lake.

Chanzo: Jambo TV
Nadhani cheo cha mbunge hakina hadhi kama tunahitaji usawa na ushindani bora katika siasa mgombea atakae Fatia kwa Idadi ya kura zote zilizopigwa na wananchi awe waziri mkuu hii italeta umoja wa kitaifa tofauti na sasa ambapo waziri mkuu anateuliwa na Raisi

Waziri mkuu anapo tokana na Nguvu ya Uma anakuwa na power kwenye kuitetea Serikali kwa maslahi mapana ya kitaifa lakini jinsi ilivyo sasa mbunge anae wakilisha wapiga kura katika jimbo la uchaguzi anateuliwa kuwa waziri mkuu ina maana hilo jimbo linakosa uwakilishi kwa kipindi chote cha uongozi wa waziri mkuu huyo

Mgombea anae pata kura karibu na mshindi huyu anakuwa si mwakilishi wa jimbo atabaki kulitumikia Taifa kwa Nafasi yake
 
Samia hata akipata huo ubunge ataongea nini bungeni?
 
Kazi ya Waziri Mkuu ni kuitetea Serikali ya chama gani?
 
Upuuzi,hapo Sasa tutakuwa tunataka kuwa na Serikali ya mseto ambayo improve Kushindwa Duniani kote Kwa sababu zinaishia kuwa na migogoro.

Utasikamia sera zipi na ilani gani? Bora akawe Mbunge Ili awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni.
Atakuwa kama Bashiru Kakurwa yaani hana hadhi kabisa ..May be itumike busara ya kumpa nafasi ya uwaziri maana wale wabunge wako sawa .
 
Mimi naona katika vile viti maalum vya wanawake kwa chama kinachokuwa na wabunge kiti kimoja kiwe maalum kwa mgombea aliye kiwakilisha chama katika nafasi ya uraisi
Kwa mantiki hyo mbungeni tungekuwa na mr.ubwabwa,ni wazo zuri
 
Atakuwa kama Bashiru Kakurwa yaani hana hadhi kabisa ..May be itumike busara ya kumpa nafasi ya uwaziri maana wale wabunge wako sawa .
Kwa nini asiwe na hadhi wakati ni Mbunge na automatically atakuwa Kiongozi wa Chama Cha Upinzani Bungeni.

Akiwa huko Nje atakuwa na hadhi gani?
 
Back
Top Bottom