K Kidenga JF-Expert Member Joined Apr 28, 2018 Posts 233 Reaction score 676 Sep 5, 2024 #41 Wagumu Tunadumu said: Kwa mantiki hyo mbungeni tungekuwa na mr.ubwabwa,ni wazo zuri Click to expand... Nimesema chama kilichonufaika na viti maalum. Kwani chama chake kina mbunge yeyote? Hakina viti maalum bungeni hivyo asingekuwepo. Chama kinachokuwa na viti maalum ni chama chenye kura nyingi na kiko seriaz
Wagumu Tunadumu said: Kwa mantiki hyo mbungeni tungekuwa na mr.ubwabwa,ni wazo zuri Click to expand... Nimesema chama kilichonufaika na viti maalum. Kwani chama chake kina mbunge yeyote? Hakina viti maalum bungeni hivyo asingekuwepo. Chama kinachokuwa na viti maalum ni chama chenye kura nyingi na kiko seriaz
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 5, 2024 #42 BEZO said: Labda awe waziri mkuu..ingemake sense Click to expand... Au makamu wa Raisi.
Ngetyo JF-Expert Member Joined May 22, 2024 Posts 268 Reaction score 403 Sep 5, 2024 #43 Awe mbunge na awe kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.
fakhbros JF-Expert Member Joined Sep 14, 2013 Posts 384 Reaction score 658 Sep 5, 2024 #44 ChoiceVariable said: Serikali ya chama gani? Click to expand... Chama cha wachawi