Mdau, nashauri msipomsikiliza Lema CHADEMA mmekwisha

Irene Darton

Member
Joined
Feb 25, 2024
Posts
27
Reaction score
32
Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.

NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.

Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.

"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.

HITIMISHO:

I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.

John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?

Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.

Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI

Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.

JOHN HECHE HATAKI.
Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?

Tusubili tuone.
 
HITIMISHO👇🏽👇🏽

Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI👇🏽👇🏽

Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.

JOHN HECHE HATAKI.

Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?

Tusubili tuone.
Nabii dalali
 
Asali tamu ww
 
Lema ni chokoraa tu wa kisiasa.
Hatutasahau aliulaza na kwenda Canada mambo yalipokuwa moto, wanaume walibaki!
 
Never read rubishes! skip!
 
Peleka upuuzi huko. Kwani Lissu tulikuwa hatusikii msimamo wake akiwa mahakamani? Kama mnaona Heche anafaidi si mumwambie mama amtoe ili kumkomoa Heche? Sisi magoti hatupigi. Hatupigii magoti wauaji!
 
Angeanza kwanza kurudisha familia yake Tanzania,

Kitendo cha kupeleka familia yake uhamishoni ni kuonesha hapa Tanzania sio salama
 
Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.

Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?

Tusubili tuone.
Naunga mkono hoja
Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Asipuuzwe!
P
 
Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.

NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.

Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.

"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.

HITIMISHO:

I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.

John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?

Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.

Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI

Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.

JOHN HECHE HATAKI.
Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?

Tusubili tuone.
Hizo njia za vichochoroni anazotaka kupitia lema sio za Chadema ya sasa ya Lisu
 
Chama cĥa magaidi hukioni wewe?kùtekana kwao ni halali tena kwa uratibu a dolla.Acha kuwahisĥana.Ķwani wewe wà wapi?
 
maomluki wa wafiraji heche kawashika matako mpaka mharishe huyo bwabwa lema atakimbia mwenyewe, kuhusu eti chadema wamekwisha nani alikwambia huko chadema wanaogopa kuisha tangu wametekwa na kuuwawa ulishawaona wameogopa, wafiraji mpaka wakimbie nchi ndio mapambano yatasitishwa mtake msitake nguruwe wa kizmkazi.
 
Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.

NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.

Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.

"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.

HITIMISHO:

I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.

John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?

Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.

Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI

Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.

JOHN HECHE HATAKI.
Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?

Tusubili tuone.
Ndio kakutuma uje kuwatisha Chadema.
 
Hizo njia za vichochoroni anazotaka kupita lema sio za Chadema ya Lisu
Mshauri arudi njia kuu ya Chadema aache janja janja za akina Zito
Kwa siasa zetu hizi za kugombea kitumbua ili na wewe ule, huwezi kwenda direct kutaka kumputa mtu tonge mdomoni, au kitumbua mkononi, hata kubali, mtakigombea, mwisho kitadondoka na kuingia mchanga, hivyo wote mtakosa. The best way sio kwenda direct, pita vichochoroni huku unany'ata, kisha muibukie kwa nyuma, mpute hicho kitumbua, ndio ule wewe!.

P
 
Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.

NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.

Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.

"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.

HITIMISHO:

I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.

John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?

Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.

Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI

Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.

JOHN HECHE HATAKI.
Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?

Tusubili tuone.
🚮 🚮 🚮 🚮
 
Nonsense. Kamshauri yule mother fck wa upande ule wa baharini
 
Back
Top Bottom