Du! Hadi leo Shetani wa kijani hajakuona!! Utaangaika sana. Ushauri wa bure. Jipendekeze kwa Abdul angalau upewe hata kawilaya kama Tandahimba

Mkuu mbona kama amekatia tamaa siasa safi za kidemokrasia zinazofuta haki na rule of lawKwa siasa zetu hizi za kugombea kitumbua ili na wewe ule, huwezi kwenda direct kutaka kumputa mtu tonge mdomoni, au kitumbua mkononi, hata kubali, mtakigombea, mwisho kitadondoka na kuingia mchanga, hivyo wote mtakosa. The best way sio kwenda direct, pita vichochoroni huku unany'ata, kisha muibukie kwa nyuma, mpute hicho kitumbua, ndio ule wewe!.
P
Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.
NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.
Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.
"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.
HITIMISHO:
I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.
John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?
Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.
Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.
Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.
Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI
Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.
JOHN HECHE HATAKI.
Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?
Tusubili tuone.
Unazunguka tu, ifike wakati tukubaliane na ukweli ccm kwa sasa haiko tayari na wala huwezi kuishinda kwa style ya winner takes all.Kwa siasa zetu hizi za kugombea kitumbua ili na wewe ule, huwezi kwenda direct kutaka kumputa mtu tonge mdomoni, au kitumbua mkononi, hata kubali, mtakigombea, mwisho kitadondoka na kuingia mchanga, hivyo wote mtakosa. The best way sio kwenda direct, pita vichochoroni huku unany'ata, kisha muibukie kwa nyuma, mpute hicho kitumbua, ndio ule wewe!.
P
Unazunguka tu, ifike wakati tukubaliane na ukweli ccm kwa sasa haiko tayari na wala huwezi kuishinda kwa style ya winner takes all.
Kuna kitu tujifunze kwa Wazanzibar wale hatuwawezi na hatujawahi kufikia kuwa radical kama wao lakini imefika wakati wa kugawana nusu mkate mnaingia serikalini kwenye mifumo mnaweka mizizi ndio mnawatowa ccm huku wakiwa na uhakika wa nusu mkate.
Mama na Lisu picha zilikuwa zinaenda sana huyu ndiye alikuwa mtu wa kwenda naye kwa kupuliza kabka alijarudi shetani lingine kama Magufuli halitakagi suluhu.
Tunachokikosa kwa sasa ni chama kikuu cha upinzani kushindwa kuusoma mchezo, siasa za nginja nginha ccm ndio wanazipenda mtakumbana na Polisi huku wao wanaendelea kula na Polisi na wanajeshi.
Nadhani wote mmeona msiba wa Baba wa IGP ulikuwa Masaki, hivi ndivyo ccm inavyokula na watu muhimu kuendwlea kulindwa madarakani.
Soft politics=Kulambishwa asali 🤣Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.
NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.
Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.
"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.
HITIMISHO:
I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.
John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?
Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.
Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.
Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.
Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI
Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.
JOHN HECHE HATAKI.
Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?
Tusubili tuone.
Wananchi wepi unaowazungumzia hawa wanaompokea shujaa wao Jihan Airport?..kwa hapa tulipofika ni CCM ndio wanaopaswa kutia akili.
..jinsi wanavyoendelea kutumia Polisi kujisimika madarakani ndivyo wanavyozidi kujiharibia.
..wasipojifunza kwa makosa waliyoyafanya OCT 29 hawatajifunza kwa lolote na wataelekea shimoni.
..CCM wanapaswa kutambua hatari iliyoko mbele yao na kufanya maamuzi kwa busara kubwa.
..Kwa hapa nchi ilipo Chadema ndio wako kati ya wananchi na CCM.
..Wakiifuta Chadema wawe tayari kukabiliana moja kwa moja na wananchi hawa wa kizazi kipya.
..CCM wasijifariji kwamba kwasababu waliidhibiti Zanzibar basi wataweza kuidhibiti na Tanganyika.
..Tanganyika ni eneo kubwa sana. Zanzibar ni sawa na wilaya za Tanganyika.
Sifa kubwa ya sauti ya shetani ni VITISHO..! this s the devil huhitaji maombi kufahamuMwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.
NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.
Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.
"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.
HITIMISHO:
I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.
John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?
Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.
Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.
Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.
Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI
Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.
JOHN HECHE HATAKI.
Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?
Tusubili tuone.
Wananchi wepi unaowazungumzia hawa wanaompokea shujaa wao Jihan Airport?
Au mapambano yanayoongozwa na mademu Mange, Maria, Hilda wakiwa chumbani?
Na zaidi ya hapo imeshatokea! Oct 29. Nchi ikivimba inahitaji pa kutokea! ndicho kilichotokea kwa mabinti kuwaweka CCM mtu kati hadi leo wanahaha hawajui mwelekeo wa nchi..watu wanaoweza kuongozwa na mademu kama Mange, na Maria, mimi nawaona ni hatari.
..fikiria Rais wa nchi ameshindwa ushawishi na Kina dada kama Mange mpaka akalazimika kuuwa wananchi wake kwa maelfu.
I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.
Lema rasmi matèka wa ccmMwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.
NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.
Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.
"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.
HITIMISHO:
I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.
John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?
Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.
Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.
Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.
Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI
Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.
JOHN HECHE HATAKI.
Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?
Tusubili tuone.
Pamoja na longo longo kuwa ni sehemu ya siasa, lakini hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli wa hali halisi ya siasa zetu. Nilikuwa US, nikaona jinsi Trump alivyo mnock down Camala, nikawashauri ChademaUnazunguka tu, ifike wakati tukubaliane na ukweli ccm kwa sasa haiko tayari na wala huwezi kuishinda kwa style ya winner takes all.
Mama na Lisu picha zilikuwa zinaenda sana huyu ndiye alikuwa mtu wa kwenda naye
Tunachokikosa kwa sasa ni chama kikuu cha upinzani kushindwa kuusoma mchezo,
Hao hao ndo walifanya 29 Oct mfumo wa siasa ubadirike and why issue ya jihan na mange au wakina maria ndo iwe kipimo cha siasa hata nchi ikibadirika vp hawawez wananchi wote kuongea lugha moja lipo wazi ila kundi kubwa na muhimu likijua wajibu wao ni ushindi tosha kwa nchii kama hukuwa field 29 Oct kuona mitazamo ya vijana au kufanya research yakinifu huwezi kuelewa nin ccm inajipalilia makaa sijawahi shiriki jambo lolote chadema na asili yangu ni ccm ila tulipo tunapaswa tujisahihishe hali ni mbaya narudia tena hali ni mbaya huko juu huenda wanajua ukweli halisi au wanadanganywaWananchi wepi unaowazungumzia hawa wanaompokea shujaa wao Jihan Airport?