Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Sawa kigamboni, sehem gani
Kutokea fery Panda dala dala za mji mwema shukia kituo knaitwa maweni anza kutembea Kwa mguu kupandsha mji mwema utakuta sheli upande Wa kushoto kuna bar inaitwa liquid bar .....k utatukuta live tunaendeleza kufunga week
 
Rosti mboga mboga!!! Hii kitu na ugali ni habari nyingine.

Kunarafiki yangu mpemba watuwalimufanyia umafia,,,Aliingia getto Kakuta watu wanapiga wakamkaribisha akapiga msosi mpaka anajing'ata vidole na kuisifu kwa kuwa ilikuwa imelosotiwa vilivyo.

Baada ya kuambiwa Nyama ni ya mbuzi katoliki aliishiwa pozi lakini naamini alitoka na majibu swafi kabisa kuhusu uzushi wa mbuzi huyu pendwa!!
 
Kwa upande wangu napenda rost kama hii
 

Attachments

  • 18513512_1229670660492164_1672586528510967808_n.jpeg
    128.8 KB · Views: 61
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…