Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Dunia nzima, inaikubali nguruwe kuwa ndio chanzo kikubwa sana cha protein.Mimi ni mlaji mxur wa Nyama hamna Nyama tam kama kitimotoz
Wapemba wananunua sana, nguruwe na kusafirisha kuipeleka Zanzibar