Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Mimi ni mlaji mxur wa Nyama hamna Nyama tam kama kitimotoz
Dunia nzima, inaikubali nguruwe kuwa ndio chanzo kikubwa sana cha protein.
Wapemba wananunua sana, nguruwe na kusafirisha kuipeleka Zanzibar
 
Wakuu pande za gongo la mboto napata wapi hii huduma karibu??
 
Ramadhan ni yako na ndugu zako. Tuache Wagalatia tunufaike na punguzo la NUSU BEI kwa mwezi huu.
[B ] Alihamdulilah bei imeshuka basi mambo ya kheri hayo. Nanunua kilo 3. Naweka ndani natomboka kikongo na nguruwe
 
Rosti mboga mboga!!! Hii kitu na ugali ni habari nyingine.

Kunarafiki yangu mpemba watuwalimufanyia umafia,,,Aliingia getto Kakuta watu wanapiga wakamkaribisha akapiga msosi mpaka anajing'ata vidole na kuisifu kwa kuwa ilikuwa imelosotiwa vilivyo.

Baada ya kuambiwa Nyama ni ya mbuzi katoliki aliishiwa pozi lakini naamini alitoka na majibu swafi kabisa kuhusu uzushi wa mbuzi huyu pendwa!!
Mbona wanakula sana na wananunua sana pale Morogoro na kusafirisha Zanzibar na nyingine inaenda Dubai
 
Napendaga nikishalewa bapa langu la Konyagi pale MINJA PUB~ Majengo Moshi,nang'ata pande mbili mdudu na mbogamboga ,kwa ugali mbili.

Kinachofuata ni maji kubwa ya Kilimanjaro baridiiii then narudi home kulala.
Mkuuu fika hapa Oriental pub mara moja tafadhali


980a265a49ac33db647b4252ce166cb0.jpg
 
Back
Top Bottom