Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

dogo mbona unazingua, piga hiyo simu tukuwekee order yako. muda ukizid masaa mawili toka uweke order na hujatokea tunaiuza kwa mtu mwingine
Kumbe ww ndo muuzaji..But tuheshimiane mkuu. Nliuliza Ili nipate uhakika sidhan kama nmekosea.. Labda kama kitimoto yako si ya dunia hii hutak watu wajue location.
 
Back
Top Bottom