New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Mdau unapigwa na joto kali ukiwa single pande za wapi ?
Kumbe upo huko mkoani tatizo huko miti na mapori mengi ndio maana baridi ila huku dar tunateseka sana joto linachomaMi nawashangaa wanaodai kwamba mbeya kuna joto safari Hii,kwa joto lipi sijui🥶
Hatari sana mzeePande za Bwagamoyo joto ni kali sana, yaani ni mwendo wa kutembea tumbo wazi mtaani.
Pemba mkuu, joto la kutosha ila shungi na ninja ziko palepale.Mdau unapigwa na joto kali ukiwa single pande za wapi ?
Kuna malipo tenanapigwa joto nikiwa chumbani kwangu,,,, ukitaka location nikupe control number ulipie mengine yafuatie
Dar au mkoani?napigwa joto nikiwa chumbani kwangu,,,, ukitaka location nikupe control number ulipie mengine yafuatie
Kwa dar ni kawaida mkuu,lakini siyo mbeya halafu umalila huko…mtu anajinadi analala bila kujifunika Shuka🫣Kumbe upo huko mkoani tatizo huko miti na mapori mengi ndio maana baridi ila huku dar tunateseka sana joto linachoma
Hatari sana joto hili lita tuuwaPemba mkuu, joto la kutosha ila shungi na ninja ziko palepale.
kujua pande zangu bila malipo ni dhambi mkuu.Kuna malipo tena
Huku dar joto kali sana ukilala na shuka kitanda kizima kita loa alafu kwa masingle hali ni mbaya sanaKwa dar ni kawaida mkuu,lakini siyo mbeya halafu umalila huko…mtu anajinadi analala bila kujifunika Shuka🫣
bila cheque ni dhambi staki kwenda motoni mkuuDar au mkoani?
Bora uwe single kwa joto la dar,kukumbatiana kunaongeza joto mkuuHuku dar joto kali sana ukilala na shuka kitanda kizima kita loa alafu kwa masingle hali ni mbaya sana
Basi matajiri wana bahatikujua pande zangu bila malipo ni dhambi mkuu.
Sasa kwani ni kukumbatiana tu bora mkae mpige zogoBora uwe single kwa joto la dar,kukumbatiana kunaongeza joto mkuu
wana bahati sana na wana enjoy vitamuBasi matajiri wana bahati
PMbila cheque ni dhambi staki kwenda motoni mkuu
kwani we single? tunajibu tunaopigwa na joto tulio singleMi nawashangaa wanaodai kwamba mbeya kuna joto safari Hii,kwa joto lipi sijui🥶