Mdau unapigwa na joto kali ukiwa single pande za wapi ?

Mdau unapigwa na joto kali ukiwa single pande za wapi ?

Jenga kilimani.

Hakikisha vyumba vina dirisha 2.

Msimu wa joto kama huu inasaidia kuingiza hewa na ka upepo.
 
Basi ngoja nijenge ndege niende hewani hebu sema ndege
Ndegeeeeee! Kama Ya Baba Levo Madale.

1793639343756.png
 
aaaah mbona nyumba kubwa uswahilini alafu kiwanja kidogo hapo jau
Kwakuwa kiwanja kidogo ndiyo maana kajenga floor nne hewani.

Sehemu aliyojenga si uswahilini sana ,ukipita raod ya madale kukutana na road ya mbezi unaliona jumba lake.
 
Kwakuwa kiwanja kidogo ndiyo maana kajenga floor nne hewani.

Sehemu aliyojenga si uswahilini sana ,ukipita raod ya madale kukutana na road ya mbezi unaliona jumba lake.
sasa sindio uswahili wenyewe huo nyumba kali imejengwa location mbaya nyumba kama hiyo inahitaji private
 
Back
Top Bottom