New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
- Thread starter
- #21
kwenye vitu gani mkuu hebu nijulisheIko vizuri Lakini Ina udhaifu asili ya muafrika haisemi ukweli ime base kwa mapebali
kwenye vitu gani mkuu hebu nijulisheIko vizuri Lakini Ina udhaifu asili ya muafrika haisemi ukweli ime base kwa mapebali
Deep seek, investopedia pia.Mda wa lisaa limoja hadi mawili unatumia Ai gani mkuu
We umeshindikana 😂Mimi natumia muda mrefu mno, ona kama hizi mada ndani yake kuna mijadala ya muda mrefu mno View attachment 3597209View attachment 3597210View attachment 3597211View attachment 3597212View attachment 3597213View attachment 3597214View attachment 3597215View attachment 3597216View attachment 3597217View attachment 3597218View attachment 3597219View attachment 3597220
Asante sana mkuu wangu kwa informationDeep seek, investopedia pia.
unamaanisha niniIn the upcoming years there'll be no need of mechanical personnel, na kingine wewe huoni jinsi watu tulivyo kama mazombie. Hatuna mawazo imara, tunaendeshwa na hisia
asante sana mkuu wangu kwa informationSiku nikiwa na issue serious naitumia masaa, ila kwa issue za kawaida labda l saa moja..
Natumia zaidi kurekebisha grammar, kufanya analysis na kutengeneza picha pia. Ila nikimaster ya video. Nitakaa zaidi
Pamoja mkuu🙏🏽asante sana mkuu wangu kwa information
AI ni italeteleza kutoweka Kwa umaskini wa binadamu, baadae nihilism itaongezeka na tutamalizana wenyewe Kwa wenyeweunamaanisha nini