Unanitusi au unatafuta sababu za malumbano hapa?Kwa hiyo tukuache wakupakue
Ndugu nilicho kizungumzia mimi ni kitu tofauti na hicho unacho kiongelea, nilijibu kulingana na kichwa cha uzi kinavyo jieleza, naimani maana ya neno starehe unaielewa vyema, kama wewe ulikuwa na maana tofauti na kula ujana ninaoufahamu mimi ni bora ukatumia busara na siyo kuanza kunitusi, unatengeneza tatizo jingine na vita isiyokuwa na msingi wowote.Sasa si umesema tusikupangie maisha
Nami nimekuuliza kwa hiyo tukuache wasela waendelee kutoa tope
Admin ndio kubadilisha kichwa cha habari... kichwa cha habari kilizungumzia tabia za kupakuliwa nyuma, sasa na wewe ulivyosema "tusikupangie" nikajua unapenda michezo ya kupakuliwaNdugu nilicho kizungumzia mimi ni kitu tofauti na hicho unacho kiongelea, nilijibu kulingana na kichwa cha uzi kinavyo jieleza, naimani maana ya neno starehe unaielewa vyema, kama wewe ulikuwa na maana tofauti na kula ujana ninaoufahamu mimi ni bora ukatumia busara na siyo kuanza kunitusi, unatengeneza tatizo jingine na vita isiyokuwa na msingi wowote.
Ok tuishie hapo, heshima ni kitu cha bure.Admin ndio kubadilisha kichwa cha habari... kichwa cha habari kilizungumzia tabia za kupakuliwa nyuma, sasa na wewe ulivyosema "tusikupangie" nikajua unapenda michezo ya kupakuliwa