Mdau yupo sahihi kuhusu Wachungaji na Mahospitali?

Mdau yupo sahihi kuhusu Wachungaji na Mahospitali?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Screenshot_20240724-183437.jpg


Yupo sahihi?
 
muujiza kwa mchungaji ambaye ni mtumishi wa Mungu unaweza kufanywa sehemu yeyote, kama anayeombewa ana imani. shida ni kwamba wale wanaoombewa imani ni haba ndio maana hawaponi. haimaanishi maombi hayaponyi, noo.
  1. Kwanini wachungaji hawaendi kuwaombea wagonjwa huko hospitalini?
  2. Unataka kutuambia ukilazwa hospitali unaugua ugonjwa mwingine wa imani haba?
 
Sema umeanza vzr ukamaliza vibaya
kuombewa kokote kule kunahitaji kuambatana na imani.hata Yesu mara chache sana, kama exception aliponya watu bila kuwauliza kama wanaamini.

Yeyote alikuwa akiulizwa kama ameamini anaambiwa umepona. though imani nyingine ilikuwa kwa njia ya matendo, hata kama hujasema matendo yako yanaonyesha una imani.

Mfano, akida aliposema wewe sema tu neno, au walipotoboa dari kupitisha mgonjwa hadi alipo, ni vitu viwili tofauti.
 
  1. Kwanini wachungaji hawaendi kuwaombea wagonjwa huko hospitalini?
  2. Unataka kutuambia ukilazwa hospitali unaugua ugonjwa mwingine wa imani haba?
ili upone, unahitaji kuamini kuwa Mungu anaweza kukuponya. chochote Mungu anafanya kwetu connection yake na sisi ni imani. mwamini yeye tu kwamba anaweza kufanya, shida watu wanaugua kumbe wanakunywa madawa ya waganga na wachawi, kiunoni ana hirizi, imani yake ipo kwa mganga wa kienyeji au mizimu, mtu kama huyo hata ukimwekea mkono ataponaje? labda kwa exceptions sana ila sio always.
 
muujiza kwa mchungaji ambaye ni mtumishi wa Mungu unaweza kufanywa sehemu yeyote, kama anayeombewa ana imani. shida ni kwamba wale wanaoombewa imani ni haba ndio maana hawaponi. haimaanishi maombi hayaponyi, noo.
Jibu swali kwanini hawaendi hospitali?
 
Kapola alitoa jibu dhaifu sana kuhusu hilo swali,

Eti alisema 'watu wanaouliza hivyo kwanini wasiende wenyewe huko hospitalini, kwasababu kila aaminiye anaweza kuponya'

Kama sio pumba ni nini?
 
kuombewa kokote kule kunahitaji kuambatana na imani.hata Yesu mara chache sana, kama exception aliponya watu bila kuwauliza kama wanaamini. yeyote alikuwa akiulizwa kama ameamini anaambiwa umepona. though imani nyingine ilikuwa kwa njia ya matendo, hata kama hujasema matendo yako yanaonyesha una imani. mfano, akida aliposema wewe sema tu neno, au walipotoboa dari kupitisha mgonjwa hadi alipo, ni vitu viwili tofauti.
Hakuna formula ya muujiza maana muujiza hatokea nje ya sayansi ya kawaida kwa hyo mtu anaweza akawa hana imani ila akapata muujiza au anaweza akawa
Labda nikupe mfano common wa Sara hakuwa na matumaini ya kupata mtoto tena kwa Ibrahim ndo maana alishamruhusu azae na kijakazi wake lakini alipata muujiza bila hata ya kuwa na Imani
Kwa hiyo sio lazma uwe na Iman ndo upate muujiza
 
Back
Top Bottom