Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kuna kitu kinaitwa muujiza, na kuna kitu kinaitwa uponyaji. hata kama vyote vinaitwa miujiza ila kingine kinatokea baada ya imani ila kingine hata bila imani kinatokea.Hakuna formula ya muujiza maana muujiza hatokea nje ya sayansi ya kawaida kwa hyo mtu anaweza akawa hana imani ila akapata muujiza au anaweza akawa
Labda nikupe mfano common wa Sara hakuwa na matumaini ya kupata mtoto tena kwa Ibrahim ndo maana alishamruhusu azae na kijakazi wake lakini alipata muujiza bila hata ya kuwa na Imani
Kwa hiyo sio lazma uwe na Iman ndo upate muujiza