Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kuna kitu kinaitwa muujiza, na kuna kitu kinaitwa uponyaji. hata kama vyote vinaitwa miujiza ila kingine kinatokea baada ya imani ila kingine hata bila imani kinatokea.Hakuna formula ya muujiza maana muujiza hatokea nje ya sayansi ya kawaida kwa hyo mtu anaweza akawa hana imani ila akapata muujiza au anaweza akawa
Labda nikupe mfano common wa Sara hakuwa na matumaini ya kupata mtoto tena kwa Ibrahim ndo maana alishamruhusu azae na kijakazi wake lakini alipata muujiza bila hata ya kuwa na Imani
Kwa hiyo sio lazma uwe na Iman ndo upate muujiza
Kwa hiyo uponyaji sio muujiza?kuna kitu kinaitwa muujiza, na kuna kitu kinaitwa uponyaji. hata kama vyote vinaitwa miujiza ila kingine kinatokea baada ya imani ila kingine hata bila imani kinatokea.
Je anaweza lakini hafanyi? Basi sio mwenye upendo,Kwa mujibu wako
Sasa unasemaje hana upendo kama hayupo? Kuna kitu hakipo halafu kina chuki?Je anaweza lakini hafanyi? Basi sio mwenye upendo,
Sio mungu huyo ni hadithi za zama za chuma.
Acha ujinga wewe, Yesu alipomfufua Lazaro si Lazaro alikuwa amekufa tayari, au Lazaro alikuwa anasikia na kuamini ndiyo akafufuka? Wizi tuu.muujiza kwa mchungaji ambaye ni mtumishi wa Mungu unaweza kufanywa sehemu yeyote, kama anayeombewa ana imani. shida ni kwamba wale wanaoombewa imani ni haba ndio maana hawaponi. haimaanishi maombi hayaponyi, noo.
sasa hili tusi la ujinga linakufanya ukose vigezo na hadhi ya kujadili na mimi. tafadhali jadili na wengine.Acha ujinga wewe, Yesu alipomfufua Lazaro si Lazaro alikuwa amekufa tayari, au Lazaro alikuwa anasikia na kuamini ndiyo akafufuka? Wizi tuu.
AahaaaaWajinga ndio waliwao .na wajinga n wengi kuliko werevu hvyo hkn budi wale wachache werevu kuwaburuza wajinga walio wengiii
Ni kuna ukweli asilimia 45, lakini hii sio sababu kuu....sababu kuu ni kwamba hospitalini kuna utaratibu kanuni na sheria zake hivyo haitakua busara kuchanganya taaluma/utaratibu wa hospitali na masuala ya kiimani.
KCMC
Umekosea sana, nimewahi kuona wachungaji wakipita mahospitalini wakiombea watu wanapona. Wengine walitakiwa kuzaa kwa operation ghafla anazaa kawaida
Imani yakuombea ipo hivi 1) wewe unayeomba kwanza uwe na imani 2) unayeombewa uwe na imani na uamini 3) kama inahusisha familia baba/mama na wao wawe na imaniAcha ujinga wewe, Yesu alipomfufua Lazaro si Lazaro alikuwa amekufa tayari, au Lazaro alikuwa anasikia na kuamini ndiyo akafufuka? Wizi tuu.
muujiza kwa mchungaji ambaye ni mtumishi wa Mungu unaweza kufanywa sehemu yeyote, kama anayeombewa ana imani. shida ni kwamba wale wanaoombewa imani ni haba ndio maana hawaponi. haimaanishi maombi hayaponyi, noo.
Wakati wa ugonjwa ndio wakati mtu anakuwa na imani sana. Mwamposa angetenga hata siku moja kwa wiki awe anatembelea hospitali kama ocean road au Muhimbili.Imani yakuombea ipo hivi 1) wewe unayeomba kwanza uwe na imani 2) unayeombewa uwe na imani na uamini 3) kama inahusisha familia baba/mama na wao wawe na imani
muujiza kwa mchungaji ambaye ni mtumishi wa Mungu unaweza kufanywa sehemu yeyote, kama anayeombewa ana imani. shida ni kwamba wale wanaoombewa imani ni haba ndio maana hawaponi. haimaanishi maombi hayaponyi, nooπππ
Na huyu πmuujiza kwa mchungaji ambaye ni mtumishi wa Mungu unaweza kufanywa sehemu yeyote, kama anayeombewa ana imani. shida ni kwamba wale wanaoombewa imani ni haba ndio maana hawaponi. haimaanishi maombi hayaponyi, noo.