Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Kwani hawakufanya vurugu?Bwashee usiifundishe kazi mahakama!
Tena siyo vurugu za kawaida maana walikwenda kuvunja gereza ili kuwatoa wahalifu.Kwani hawakufanya vurugu?
Kuna tofauti kati ya kufanya vurugu na kufanya vurugu kwa " kukusudia"Kwani hawakufanya vurugu?
Mbowe alishalipiwa faini na familia ya mchungaji Msigwa hivyo Halima Mdee na wenzake walienda kumpokea kama vile Polepole alivyoenda kumpokea Dr Mashinji wa Chadema!Tena siyo vurugu za kawaida maana walikwenda kuvunja gereza ili kuwatoa wahalifu.
Bwashee umekunywa mbege? Maelezo yaliyosomwa mahakamani ni kuwa walifanya vurugu makusudi.Kuna tofauti kati ya kufanya vurugu na kufanya vurugu kwa " kukusudia"
Halima Mdee na wenzake walifika gerezani kumpokea mwenyekiti wao Freeman Mbowe aliyekuwa anatoka jela!
Haya ndio hatuyapendi. Acheni haki itendeke.Halima and co. Wasiwe na wasiwasi, sasa hivi wako upande wa CCM.
Simu moja tu ya Mhimili wa Ndugai na waachiwa huru.
Ndugai dare not miss them in the Bunge.
Mapokezi ndo wawapige askari wetu waaadilifu wa Magereza? Hili halikubaliki hata kidogo.Mbowe alishalipiwa faini na familia ya mchungaji Msigwa hivyo Halima Mdee na wenzake walienda kumpokea kama vile Polepole alivyoenda kumpokea Dr Mashinji wa Chadema!
Tena hadharani. Walimchania askari uniform hadharani.Mapokezi ndo wawapige askari wetu waaadilifu wa Magereza? Hili halikubaliki hata kidogo.
Kinachosomwa mahakamani siyo lazima kiwe ndio kilichotendwa.Bwashee umekunywa mbege? Maelezo yaliyosomwa mahakamani ni kuwa walifanya vurugu makusudi.
Askari hawezi kuchaniwa sare kwenye eneo lake la kazi!Tena hadharani. Walimchania askari uniform hadharani.
Uliwahi kuona wapi askari anapigwa na raia wa kike?Mapokezi ndo wawapige askari wetu waaadilifu wa Magereza? Hili halikubaliki hata kidogo.
Ndo walichofanya hao magaidi. Yaani ilikuwa mbaya sana kama askari wasingeongezewa nguvu na wenzao waliokuwa nje ya gereza.Uliwahi kuona wapi askari anapigwa na raia wa kike?
Haingii akilini kuwapeleka mahakamani wateuliwa wa mhimili wa bunge, kutoka upinzani.Haya ndio hatuyapendi. Acheni haki itendeke.
Bwashee vuta kumbukumbu. Picha zirizagaa duniani poteAskari hawezi kuchaniwa sare kwenye eneo lake la kazi!
Jeshini siyo sawa na kilabuni bwashee!
Mahakama ni chombo huru. Kama mtu anayo hatia anakula mvua tu.Haingii akilini kuwapeleka mahakamani wateuliwa wa mhimili wa bunge, kutoka upinzani...