Mdee na wenzake wanayo kesi ya kujibu, isifanyike mizengwe haki ikapindishwa

Duh,We kiboko..., Kesi ushaimaliza na hukumu umetoa..!
Kuwa na kesi ya kujibu ni sehemu tu wa muendelezo wa kesi...mwisho wa siku je wamepatikana na hatia au la..?
Unajua maana neno ushahidi wa wazi? Procedure zinafuatwa kukamilisha kesi,lakini ushahidi wa wazi ni kuwa walifanya vurugu.
 
Kwanza kabisa kabla sijashusha nondo niweke wazi kuwa mahakimu wengi huwa wanatumia mwanya wa uhuru walionao kisheria kutoa adhabu kupendelea watu...
Wewe nani bana. Kwani Mdee kakufanya nini hadi umtakie mabaya ambayo one year ago usingethubutu! Acha undezi.
 
Kwanza kabisa kabla sijashusha nondo niweke wazi kuwa mahakimu wengi huwa wanatumia mwanya wa uhuru walionao kisheria kutoa adhabu kupendelea watu.

Ni wazi kuwaa Halima Mdee na wenzake walifanya mkusinyako usio halali na kuleta vurugu na hii ni kinyume na kifungu cha 89 sheria ya adhabu ya Tanzania.

Hivyo kama mtu alifanya kosa hili ni wazi anatakiwa afungwe mwaka mmoja jera, sababu kosa limefanyika mchana. Na mantiki hii Halima Mdee na Esther Bulaya watapoteza ubunge wao walioupata kimazabe. Sababu mbunge akifungwa zaidi ya miezi sita huwa anapoteza ubunge kama ibara ya 67(2)(c) ya katiba ya JMT.

Lakini kwa kuwa mahakama na mahakimu huwa wanatumika kisiasa huenda haki ikapindishwa na kuona watuhumiwa wanapata conditional discharge. Maana mahakimu wa kitanzania hutumiwa na wanasiasa.

My take; hakuna aliye juu ya sheria hapa Tanzania. Kama walifanya vurugu mchana kweupe wapate haki yao inayostahili.
hii sasa ni roho mbaya tu mkuu.Acha private life iwe private life kua na mgogoro nao isiwe kigezo cha kutaka wakandamizwe au wahukumiwe kwa makosa yasiyo stahili but all in all aliyeshitaki anajua alichoshtaki.
 
Wakandamizwe kivipi? Mtu akifanya kosa acha sheria ifuate mkondo.
 
View attachment 1703264Vipi hii kitu haijajirudia tena KISUTU?
dah hii picha hiii, ina picha kubwa sana ukianza kuifikiria, kama ni move ni movie la kihindi na kichina zile za zamani unakunywa pombe kisha unapigana kilevi nyani akipita unabadilisha style unaanza kupigana kinyani nyani na unashinda,
 
Kwanza kabisa kabla sijashusha nondo niweke wazi kuwa mahakimu wengi huwa wanatumia mwanya wa uhuru walionao kisheria kutoa adhabu kupendelea watu.

Ni wazi kuwaa Halima Mdee na wenzake walifanya mkusinyako usio halali na kuleta vurugu na hii ni kinyume na kifungu cha 89 sheria ya adhabu ya Tanzania.

Hivyo kama mtu alifanya kosa hili ni wazi anatakiwa afungwe mwaka mmoja jera, sababu kosa limefanyika mchana. Na mantiki hii Halima Mdee na Esther Bulaya watapoteza ubunge wao walioupata kimazabe. Sababu mbunge akifungwa zaidi ya miezi sita huwa anapoteza ubunge kama ibara ya 67(2)(c) ya katiba ya JMT.

Lakini kwa kuwa mahakama na mahakimu huwa wanatumika kisiasa huenda haki ikapindishwa na kuona watuhumiwa wanapata conditional discharge. Maana mahakimu wa kitanzania hutumiwa na wanasiasa.

My take; hakuna aliye juu ya sheria hapa Tanzania. Kama walifanya vurugu mchana kweupe wapate haki yao inayostahili.
Kama ni WABUNGE Wasio na CHAMA basi Hata hiyo KESI WATASHINDA Kwa USHINDI Kama WA CCM
 
Back
Top Bottom