bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
GSM Kudhamini timu nyingine saba za Ligi kuu siyo FAIR. Kinachotakiwa kwa Sasa ni timu nyingine kushitaki FIFA.
Barbara Gonzalez alipambana na Hilo na akafanikiwa. Hivi Mwenyekiti wa Simba ana shida gani? Mbona halaumu kuhusu Hilo suala.
CEO wa Simba mbona halisemei Hilo? Msemaji wa Simba mbona halisemei Hilo
Bila ya kuzuia udhamini huo wa GSM. Yanga SC itadominate soka letu kwa miaka mingi.
Rais wa TFF yupo mfukoni kwa GSM na huenda analipwa posho ya mwezi.
Viongozi wa timu zinazodhaminiwa na GSM wapo mfukoni.