Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda wewe ukazidhamini hizo timu.GSM Kudhamini timu nyingine saba za Ligi kuu siyo FAIR. Kinachotakiwa kwa Sasa ni timu nyingine kushitaki FIFA.
Barbara Gonzalez alipambana na Hilo na akafanikiwa. Hivi Mwenyekiti wa Simba ana shida gani? Mbona halaumu kuhusu Hilo suala.
CEO wa Simba mbona halisemei Hilo? Msemaji wa Simba mbona halisemei Hilo
Bila ya kuzuia udhamini huo wa GSM. Yanga SC itadominate soka letu kwa miaka mingi.
Rais wa TFF yupo mfukoni kwa GSM na huenda analipwa posho ya mwezi.
Viongozi wa timu zinazodhaminiwa na GSM wapo mfukoni.
Kama barbara alifanikiwa malalamiko ya nini hata mimi nilitaka kumuulizaTukumbushe Bi Barbara alipambana na nini na nini alifanikiwa
Huna ujualo wewe na huna unachoweza fanya acha kujibalaguza. Li uzi lako limebumaHii ya GSM ambaye ni miongoni mwa wamiliki wa YANGA Kudhamini timu NYENGINE saba kupitia wanasheria wangu nalipeleka. FIFA Ili haki itendeke na majibu mtayapata nyie uto.
Hapana inaruhusiwa ata mdhamini mkuu kudhamini team zaidi ya 2 ,Umesahau Sportpesa alikuwa na ni mdhamini mkuu wa team zaidi ya moja yaani Yanga,Simba,Namungo,Singida pia japo saivi Simba kajitoa anadhaminiwa na MBet ambae ni mdhamini mkuu pia wa KMCInaruhuiwa kisheria na kikanuni.
Mdhamini mkuu haruhusiwi kudhamini zaidi ya klabu moja.
GSM si mdhamini mkuu bali ni mdhamini mdogo hivyo anaruhusiwa kudhamini klabu zozote azitakazo kutangaza biashara zake.
Ikiwa inakuuma sana chukua kamba ya manila jining'inize mtini.
Wamiliki???Hii ya GSM ambaye ni miongoni mwa wamiliki wa YANGA Kudhamini timu NYENGINE saba kupitia wanasheria wangu nalipeleka. FIFA Ili haki itendeke na majibu mtayapata nyie uto.
Ahsante kwa taarifa ya nyongeza.Hapana inaruhusiwa ata mdhamini mkuu kudhamini team zaidi ya 2 ,Umesahau Sportpesa alikuwa na ni mdhamini mkuu wa team zaidi ya moja yaani Yanga,Simba,Namungo,Singida pia japo saivi Simba kajitoa anadhaminiwa na MBet ambae ni mdhamini mkuu pia wa
Kabisa,na wenzetu wamepiga hatua,, Team hazitafuti wadhamini ila wadhamini ndio wanazibembeleza team kufanya Biashara ila uku kwetu ni Team ndio zinahangaika kubembeleza na kuwapigia magoti wadhamini .Ahsante kwa taarifa ya nyongeza.
Huenda nilifanya reference ya huku majuu. Hapo petu yawezekana uko sahihi kabisa kwani badala ya mdhamini kuiomba klabu, klabu ndiyo inamuomba udhamini mdhamini!
Huku majuu udhamini ni biashara kubwa tena yenye faida sana
Hili ndilo la msingi
Yanga bwana, ukiigusa tu timu yao wanakuja na utetezi wowote ule ila mradi tu wametikiza wajibu wao kuilinda na kuitetea katiba yao. Sasa eti utetezi wenu mnasema GSM siyo mdhamini wala mmiliki, ila mnayemuimba kila siku ni GSM. Kwa nini hamumuimbi anayewapa pesa nyingi zaidi? Lini umewahi kuona Yanga wakiimba SportPesa! SportPesa!
Mifano ya AZAM na M-BET wala haifanani na hoja kuhusu GSM. Ijitokeze timu moja katika ambazo haija dhaminiwa na GSM icheze na Yanga mechi 5 ikishinda hata mechi moja tuta amini udhamini una madhara
Mkuu ili sio tatizo, ni suala lipo linaruhusiwa katika soka kwa upande wa matangazo na udhamini. Ata ukiangalia ulaya kwa mfano Kampuni ya Redbull inamiliki na kudhamini clubs zaidi ya 4 ,Fly emirates inadhamini clubs zaidi ya 5 ,Etihad pia zaidi ya clubs 3 na zote izi uwa zinakutana sometimes kwenye michuano mbalimbali .Na ata kuna kipindi fulani Sportpesa ilidhamini klabu zaidi ya 4apa Tanzania Yanga,Simba,Namungo,Singida united pia. Kampuni za Mo pia ziliwai dhamini klabu mbili kwa wakati mmoja yaani Simba na African luon . Suala la msingi ni je zinavunja sheria gani ya mpira ?