Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unajua kampuni inayoimiliki Man united?Kwahiyo GSM ni nani hapo Yanga?
Man United ndio kitu gani ? Mm najua Simba na Yanga tu.Mkuu unajua kampuni inayoimiliki Man united?
Timu ya Manchester unitedMan United ndio kitu gani ? Mm najua Simba na Yanga tu.
Ficha ujinga wako huo, hao umewataja hapo wote ni watengenezaji wa jezi tu ambayo kimpira haina shida maana kinachofanyika ni mauziano hapo.Nani aliyesema haitakiwi? Ni wewe au ni FIFA au nani aliyesema haitakiwi?
1) Adidas wana sponsor
Arsenal, Fulham, Man united
2) Nike wana sponsor
Brighton, Chelsea, Liverpool na Tottenham
3) Umbro nao wana sponsor timu zaidi ya moja
Mifano uliyoleta hapo juu ni ya timu ambazo ziko Ligi tofauti.Nimekuletea mifano ya ligi na nchi nyingine unasema sio mifano sahihi afu mwisho unamaliza hii iko Tanzania pekee !,Nakosa namna ya kukupa elimu aseeh.Basi kama unaona ni Tanzania pekee basi wewe hujui au hufuatilii mpira kabisa maana ata nikikuambia ulete kifungu cha sheria iyo utaweza kweli. Fuatilia mpira sio mapenzi ya timu
Tutajua nani ni mjinga mbele ya safari. Njoo ujibu na hiliFicha ujinga wako huo, hao umewataja hapo wote ni watengenezaji wa jezi tu ambayo kimpira haina shida maana kinachofanyika ni mauziano hapo.
Kwa wadhamini ni tofauti hakuna mauziano kuna kuwa na madhumuni yao.
Halfu umewahi kusikia addidas amesajili mchezaji pale Man u au Arsenal?
Yan Vitu vingine ni mnakaza fuvu tu.
Nani aliyesema haitakiwi? Ni wewe au ni FIFA au nani aliyesema haitakiwi?
1) Adidas wana sponsor
Arsenal, Fulham, Man united
2) Nike wana sponsor
Brighton, Chelsea, Liverpool na Tottenham
3) Umbro nao wana sponsor timu zaidi ya moja
Wanaitwaje hao?Hawa sio wadhamini wa Timu
Wanaitwaje hao?
Usichanganye mambo kati ya kumiliki timu na kudhamini timu hivyo ni vitu viwili tofauti. Nike ni mdhamini na wewe unakataa sio mdhamini sasa sio mdhamini ni nani? Au nani aliyekwambia kuwa ukidhamini timu ndio unakuwa ni mmiliki wa timu?Nike toka lini akamiliki timu ,yeye kazi ni kutengeneza jezi
Hao ni ofisho kwa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo tu. Lakini huku kwetu GSM sasa amekua kirusi kwa afya ya mpira wetu kwa udhamini anaoufanya kwenye ligi yetu acha kukaza fuvu.Nani aliyesema haitakiwi? Ni wewe au ni FIFA au nani aliyesema haitakiwi?
1) Adidas wana sponsor
Arsenal, Fulham, Man united
2) Nike wana sponsor
Brighton, Chelsea, Liverpool na Tottenham
3) Umbro nao wana sponsor timu zaidi ya moja
galib interest sio gsm company interest.Hao ni ofisho kwa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo tu. Lakini huku kwetu GSM sasa amekua kirusi kwa afya ya mpira wetu kwa udhamini anaoufanya kwenye ligi yetu acha kukaza fuvu.
Nike ni lini umesikia amesajili wachezaji Chelsea?
Addidas alikadhalika nao ni lini umesikia wamesajili wachezi na kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na viongozi wa timu wanazo zitengezea vifaa vya michezo?
Mbona post namba 69 unaikwepa? INEOS ni kampuni inayomiliki Manchester united lakini hao hao INEOS ni wadhamini wa Tottenham mbona kule Uingereza hakuna anayeshangaa au hata wewe mbona haushangai hilo?Hao ni ofisho kwa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo tu. Lakini huku kwetu GSM sasa amekua kirusi kwa afya ya mpira wetu kwa udhamini anaoufanya kwenye ligi yetu acha kukaza fuvu.
Nike ni lini umesikia amesajili wachezaji Chelsea?
Addidas alikadhalika nao ni lini umesikia wamesajili wachezi na kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na viongozi wa timu wanazo zitengezea vifaa vya michezo?
Njoo ubishe na hiliHao ni ofisho kwa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo tu. Lakini huku kwetu GSM sasa amekua kirusi kwa afya ya mpira wetu kwa udhamini anaoufanya kwenye ligi yetu acha kukaza fuvu.
Nike ni lini umesikia amesajili wachezaji Chelsea?
Addidas alikadhalika nao ni lini umesikia wamesajili wachezi na kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na viongozi wa timu wanazo zitengezea vifaa vya michezo?