Mdhamini mkuu wa Yanga GSM kudhamini timu nyingine saba za ligi kuu siyo fair

Nani aliyesema haitakiwi? Ni wewe au ni FIFA au nani aliyesema haitakiwi?
1) Adidas wana sponsor
Arsenal, Fulham, Man united

2) Nike wana sponsor
Brighton, Chelsea, Liverpool na Tottenham

3) Umbro nao wana sponsor timu zaidi ya moja
Ficha ujinga wako huo, hao umewataja hapo wote ni watengenezaji wa jezi tu ambayo kimpira haina shida maana kinachofanyika ni mauziano hapo.

Kwa wadhamini ni tofauti hakuna mauziano kuna kuwa na madhumuni yao.

Halfu umewahi kusikia addidas amesajili mchezaji pale Man u au Arsenal?
Yan Vitu vingine ni mnakaza fuvu tu.
 
Nimekuletea mifano ya ligi na nchi nyingine unasema sio mifano sahihi afu mwisho unamaliza hii iko Tanzania pekee !,Nakosa namna ya kukupa elimu aseeh.Basi kama unaona ni Tanzania pekee basi wewe hujui au hufuatilii mpira kabisa maana ata nikikuambia ulete kifungu cha sheria iyo utaweza kweli. Fuatilia mpira sio mapenzi ya timu
Mifano uliyoleta hapo juu ni ya timu ambazo ziko Ligi tofauti.
Ngoja nikupe zoezi moja kafuatilie historia ya RB SALZBURG na RB REILPZIG utaelewa ni nini naongelea.

Zamani ilukua hadi mashindano ya nje ilikua mwiko timu zenye mdhamini/miliki kukutana ya hatua za awali isipokua final pekee ko ratiba inapangwa kuhakikisha hawakutani isipokua final tu.
Lakini baadae FIFA wakaifuta kanuni hiyo ya timu za mdhamini/mmiliki anaefanana kukutana kwenye mashindo ya nje.
 
Ficha ujinga wako huo, hao umewataja hapo wote ni watengenezaji wa jezi tu ambayo kimpira haina shida maana kinachofanyika ni mauziano hapo.

Kwa wadhamini ni tofauti hakuna mauziano kuna kuwa na madhumuni yao.

Halfu umewahi kusikia addidas amesajili mchezaji pale Man u au Arsenal?
Yan Vitu vingine ni mnakaza fuvu tu.
Tutajua nani ni mjinga mbele ya safari. Njoo ujibu na hili
INEOS ni kampuni inayoimiliki timu ya Manchester united halafu hao hao INEOS ni wadhamini wa Tottenham Hotspur na timu zote mbili zinashiriki ligi kuu ya Uingereza. Vipi unasemaje hapo?
IMG_20240824_090612.jpg
IMG_20240824_090819.jpg
 
Nani aliyesema haitakiwi? Ni wewe au ni FIFA au nani aliyesema haitakiwi?
1) Adidas wana sponsor
Arsenal, Fulham, Man united

2) Nike wana sponsor
Brighton, Chelsea, Liverpool na Tottenham

3) Umbro nao wana sponsor timu zaidi ya moja

Hawa sio wadhamini wa Timu
 
Nike toka lini akamiliki timu ,yeye kazi ni kutengeneza jezi
Usichanganye mambo kati ya kumiliki timu na kudhamini timu hivyo ni vitu viwili tofauti. Nike ni mdhamini na wewe unakataa sio mdhamini sasa sio mdhamini ni nani? Au nani aliyekwambia kuwa ukidhamini timu ndio unakuwa ni mmiliki wa timu?
 
Nani aliyesema haitakiwi? Ni wewe au ni FIFA au nani aliyesema haitakiwi?
1) Adidas wana sponsor
Arsenal, Fulham, Man united

2) Nike wana sponsor
Brighton, Chelsea, Liverpool na Tottenham

3) Umbro nao wana sponsor timu zaidi ya moja
Hao ni ofisho kwa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo tu. Lakini huku kwetu GSM sasa amekua kirusi kwa afya ya mpira wetu kwa udhamini anaoufanya kwenye ligi yetu acha kukaza fuvu.

Nike ni lini umesikia amesajili wachezaji Chelsea?

Addidas alikadhalika nao ni lini umesikia wamesajili wachezi na kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na viongozi wa timu wanazo zitengezea vifaa vya michezo?
 
galib interest sio gsm company interest.

yanga yupo garib. vilabu vingine yupo gsm
 
Hao ni ofisho kwa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo tu. Lakini huku kwetu GSM sasa amekua kirusi kwa afya ya mpira wetu kwa udhamini anaoufanya kwenye ligi yetu acha kukaza fuvu.

Nike ni lini umesikia amesajili wachezaji Chelsea?

Addidas alikadhalika nao ni lini umesikia wamesajili wachezi na kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na viongozi wa timu wanazo zitengezea vifaa vya michezo?
Mbona post namba 69 unaikwepa? INEOS ni kampuni inayomiliki Manchester united lakini hao hao INEOS ni wadhamini wa Tottenham mbona kule Uingereza hakuna anayeshangaa au hata wewe mbona haushangai hilo?
 
Hao ni ofisho kwa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo tu. Lakini huku kwetu GSM sasa amekua kirusi kwa afya ya mpira wetu kwa udhamini anaoufanya kwenye ligi yetu acha kukaza fuvu.

Nike ni lini umesikia amesajili wachezaji Chelsea?

Addidas alikadhalika nao ni lini umesikia wamesajili wachezi na kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na viongozi wa timu wanazo zitengezea vifaa vya michezo?
Njoo ubishe na hili
IMG_20240824_090612.jpg
IMG_20240824_090819.jpg
 
Back
Top Bottom