Mdhamini mkuu wa Yanga GSM kudhamini timu nyingine saba za ligi kuu siyo fair

Nenda wewe ukazidhamini hizo timu.
Kumbuka, GSM siyo mmiliki wa Yanga, hana hata asilimia ya umilikibwa Yanga. GSM ni mdhsmini, siyo mfadhili.
GSM anafanya biashara na Yanga, kama anavyoganya biashara na hizo timu nyingine. GSM aliwahi kutaka hadi Simba wavae nembo yake na yeye alikuwa tayari kuwalipa Simba, lakini Barbra alipinga sababu Barbra alikuwa analinda maskahi ya MO, siyo ya Simba.
Kabla hamjatuhumu GasM mnaposwa kutafakari sana.
Mbona Azam kampuni inayomiliki timu ya Azam hamuipigii kelele kwa udhamini wake kwenye ligi lakini GSM asiyemiliki timu yoyote ile mmekomas mnampigia makelele?
Ninyo mmeamua Simba iwe Academy ya kukuza vipaji , mnapsswa mtulie msubiri msimu wa kuuza hao wachezaji wenu ili wakiimalika muwauze.
 
Nashauri nawe jitokeze kadhamini hizo team nyingine ili GSM asitoe hela ya udhamini japo unasahau kwamba hata MO anaweza kudhamini team anazotaka kupitia kampuni tanzu kama Cola , Mo energy etc jambo ambalo halina tatizo as long hizo kampuni tanzu sio wenye shares kwenye moja ya team. Hili darasa ni refu sana la corporate management.

BTW unajua kwamba mdhamini mkuu ni Sportspesa na kwa nyie makolo ni Mbet? Labda jiulize hivi ni kweli kabisa wewe peke yako ndio una akili kiasi ya kuona haya unayosema au hauna akili kiasi ya kufunikwa na ujinga sababu ya kutandikwa mfululizo? Mbona wakati mnashinda hamkuwa mnalalamika haya yote? Ficha ujinga wako unaweza kuaibisha ukoo wenu bila sababu.
 
Hii ya GSM ambaye ni miongoni mwa wamiliki wa YANGA Kudhamini timu NYENGINE saba kupitia wanasheria wangu nalipeleka. FIFA Ili haki itendeke na majibu mtayapata nyie uto.
 
Hapana inaruhusiwa ata mdhamini mkuu kudhamini team zaidi ya 2 ,Umesahau Sportpesa alikuwa na ni mdhamini mkuu wa team zaidi ya moja yaani Yanga,Simba,Namungo,Singida pia japo saivi Simba kajitoa anadhaminiwa na MBet ambae ni mdhamini mkuu pia wa KMC
 
Tunahitaji kuendelea kusomesha watoto wetu kwa hali na mali.
 
Hapana inaruhusiwa ata mdhamini mkuu kudhamini team zaidi ya 2 ,Umesahau Sportpesa alikuwa na ni mdhamini mkuu wa team zaidi ya moja yaani Yanga,Simba,Namungo,Singida pia japo saivi Simba kajitoa anadhaminiwa na MBet ambae ni mdhamini mkuu pia wa
Ahsante kwa taarifa ya nyongeza.
Huenda nilifanya reference ya huku majuu. Hapo petu yawezekana uko sahihi kabisa kwani badala ya mdhamini kuiomba klabu, klabu ndiyo inamuomba udhamini mdhamini!
Huku majuu udhamini ni biashara kubwa tena yenye faida sana
 
Kabisa,na wenzetu wamepiga hatua,, Team hazitafuti wadhamini ila wadhamini ndio wanazibembeleza team kufanya Biashara ila uku kwetu ni Team ndio zinahangaika kubembeleza na kuwapigia magoti wadhamini .
 
Yanga bwana, ukiigusa tu timu yao wanakuja na utetezi wowote ule ila mradi tu wametikiza wajibu wao kuilinda na kuitetea katiba yao. Sasa eti utetezi wenu mnasema GSM siyo mdhamini wala mmiliki, ila mnayemuimba kila siku ni GSM. Kwa nini hamumuimbi anayewapa pesa nyingi zaidi? Lini umewahi kuona Yanga wakiimba SportPesa! SportPesa!

Mifano ya AZAM na M-BET wala haifanani na hoja kuhusu GSM. Tena mnapoitaja AZAM kama mfano wenu ndiyo mnajisnitch wenyewe.
 
 
ni haya magoli ya ngao ndo yamekuvuruga!?

au kuna ishu nyingine
 

Fly emirates anadhamini timu moja kwenye ligi ,kama madrid tu kwenye ligi yao
 
Naona mashabiki wa Simba wanatumia kila njia kujipoza na kujipa Imani na ubovu wa team Yao,
Twende mbele turudi nyuma hakuna Short cut kwenye mpira,kama chini tengeneza team yako achana na makasiriko.
Yanga wako mbali mno,tatizo la Simba ni kuleta propaganda kwenye maswala yanayohitaji professionalism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…