Mdhamini wa Jezi za Simba alitoa ahadi ya kusajili mchezaji yeyote Klabu ikimtaka, Je imekuwa hivyo?

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,755
Reaction score
7,270
Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri?

Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine.

Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli

Lakini baadhi hawashangazwi henu tujikumbushe nyuzi hizi

Ndio Utapeli, Ujanjaujanja na wizi ni tabia ambayo mtu akiwa nayo ikiwa inamlipa haachi kamwe. Tumeshasikia wezi wanafikia kuiba vitu vya nyumbani kwao ikiwa nje watakosa.

Nichomekee kidogo,
Nani alivujisha jezi mpya za Simba?
Je zilisambazwa kwa wafanyabiashara na mwenye mamlaka ya utengenezani jezi kabla ya uzinduzi rasmi?
Iliwezekanaje wakati Uzinduzi unaendelea tayari jezi zilikuwa zinauzwa mitaani?
 
Alisema atakayepigiwa kura nyingi na mashabiki. So bado tunapiga kura
 
Msipende kuropoka msiyoyajua makubaliano kati ya jayrutty na simba, ni kwamba atakuwa anasajili mchezaji kwenye dirisha dogo tu, baada ya kuwa ameshapata faida ya mauzo ya jezi
 
Mchezaji gani Simba wameshindwa kufika dau?
Mchezaji alitakiwa na Real Madrid na Man U atachagua kwenda timu gani?
 
Msipende kuropoka msiyoyajua makubaliano kati ya jayrutty na simba, ni kwamba atakuwa anasajili mchezaji kwenye dirisha dogo tu, baada ya kuwa ameshapata faida ya mauzo ya jezi
yeye hakutamka hayo. Huo utapeli wenyewe sasa, unaweka maneno ya kuleta tafsiri isiyo halisi.
 
Angewezaje kutekeleza hilo na mkataba haukuanza kufanya kazi mkuu,,,dirisha lake yeye ni kuanzia Januari,,,dirisha hili lililofungwa lilikua chini ya udhamini wa M Bet
Tumpe muda
 
Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri?

Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine.

Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli

Lakini baadhi hawashangazwi henu tujikumbushe nyuzi hizi

Ndio Utapeli, Ujanjaujanja na wizi ni tabia ambayo mtu akiwa nayo ikiwa inamlipa haachi kamwe. Tumeshasikia wezi wanafikia kuiba vitu vya nyumbani kwao ikiwa nje watakosa.

Nichomekee kidogo,
Nani alivujisha jezi mpya za Simba?
Je zilisambazwa kwa wafanyabiashara na mwenye mamlaka ya utengenezani jezi kabla ya uzinduzi rasmi?
Iliwezekanaje wakati Uzinduzi unaendelea tayari jezi zilikuwa zinauzwa mitaani?
Mfano akichagua Kati ya waliosajiliwa akasema ndo Huyo mtasemaje?
 
yeye hakutamka hayo. Huo utapeli wenyewe sasa, unaweka maneno ya kuleta tafsiri isiyo halisi.
Sema wewe ndio hukuona hiyo clip aliyosema hivyo, haya wewe unayejua kutafsiri tuambie alitamkaje, waacheni simba hangaikeni na timu lenu lenye wadhamini wasioeleweka
 
Soon! Mtaanza kumsahau gsm, mada za jayruty zitajaa humu. Mmesha ingia kwenye mfumo.
 
Back
Top Bottom